Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,280
- 7,485
Dharau za nini sasa wewe mwehu?? Mkia wa panya wewe.HUyu ataishia kula mananasi yaliyooza na kujifukiza na mumewe ila hiyo meza ina vinywaji vya bei kali kamwe hawezi jaribu hata kuigusa.
Unamchonganisha mubashar na afsa muajiri mkuu.Mheshimiwa Dkt. Gwajima D amekuwa active member wa jukwaa na ni waziri pekee anayesoma na kureply nyuzi zinazo mtag.
Natamani kujua kauli yake kuhusuana na suala la utekaji na maoni ya kuvuka hapa tulipo.