DOKEZO Waziri Dkt. Gwajima, fanya yafuatayo ili kuwakomesha wahuni (beach boys) wote katika fukwe zetu za Dar es Salaam

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Weka ushahidi.

Wewe kaa kimya, wewe ndiyo msemaji wake? Siku zote msema kweli anaonekana mkorofi. Hilo mbona linajulikana. Utakuta wewe ndiyo wale wale tu. Mawaziri mpaka Rais anasemwa hovyo humu, mlikuja kutetea hata siku moja? Kwa kuwa mnatoka mkoa mmoja basi yeye ndiye wa maana?

Bado, si yeye si wewed, hamjajibu hoja zangu. Naona mnajaribu kufanya "character assassination" badala ya kujibu hoja.

Hata yeye, badala ya kujibu hoja zangu, kaanza na kujidai, wewe una ajenda.

Ajenda mimi ya nini na ajenda hapa imeshwekwa na mwehu anayehiita GENTAMYCINE

Punguwani wahed.
 
Sasa hapa ndo umekua charismatic fella sio falaaaaaa!
 
Mkiyataka hayo nendeni beach ambazo watu wamewekeza pesa zao kuifanya sekta ya beach kuwa na hadhi nchini.
Mnaenda changanyikeni cocobeach ambapo hadi mbwa coco wanaogelea mnategemea nini?
Vitu vingine ni kujiongezaga tu.
..sikubaliani na wewe.

..fukwe zote zinatakiwa ziwe safi, na za kistaarabu.

..tujenge utamaduni wa kupenda mambo mazuri-zuri.
 
We kwa umri wako 60s ulibidi kuwa mtu wa hekima Mbona wazee Wenzako wapo humble Sana na wapo na utu Sana. What's strong about you?
 
Haya, mpira umekwisha sasa leteni habari zenu.

Zimamoto kishaenda coco beach?
Yaani turaruka sarakasi zote za long term, short term, immediate na emergency plan zote[emoji28] tuko vizuri pande zote hadi ukasirike kabisa. Vipaji vyote tunavyo sisi.

Yaani hata kiangazi na masika Zina majira ya kudumu, ila dharura hazijawahi kukosekana...

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 

=ninazochukua

Hayo ma "ga ga" hayapo kwenye Kiswahili.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
=ninazochukua

Hayo ma "ga ga" hayapo kwenye Kiswahili.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hilo, tu.. usijali. Nilidhani ndiyo slang ya wasasa. Na edit tu kama haileweki Ili tuelewane vzr. Walau umeanza kuona hoja za msingi ila tu na wewe ukijirekebisha tu hapo unapoambiwa na wadau, huenda ukaongeza tija kwenye hoja zako. 😅

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 

Nikasirike nini mimi, nnakuona unavyozima moto. Unafikiri nategemea jipya lipi kutokea kwako?

"capacity": ya upeo wako nimeiona ilipofikia na kwa bahati mbaya huelewi ku "unlearn".

Nakupa heko na hongera sana kwa kuzima moto kila unapposikia unawaka sehemu.

Lini tutegemee tamko lako la coco beach?
 
Wewe wachana na "wadaU wako wansema nini, wao nawajibu kivyao na wewe nakujibu kivyako.

Unachotakiwa kuwa nacho ni plan hapo, siyo plan uliyoikuta tokea enzi za Mwana Nuru.

Unamfahamu Mwana Nuru? Au hujaisima historia ya hiyo wizara?
 
Yaani usitarajie nitaacha ku react. Hilo wala usitarajie. Halafu, hilo la coco beach tayari nimeshawasiliana na mamlaka husika ya eneo hilo kwa hatua za kimfumo. Halafu Sasa nitaenda kufuatilia.


Haya Ndg. wananchi wengine wote wenye shida na kero sugu mbalimbali zinazohusu wizara yangu njooni leteni tufanye kazi jamani. Mwenzetu huyu hapa hataki kabisa. Leteni leteni tusafishe kero za jamii, muda mchache, Ya muda mrefu yataendelea sambamba na mipango husika, ya Sasa njooni tusemezane. Asiyetaka atusamehe

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Wewe wachana na "wadaU wako wansema nini, wao nawajibu kivyao na wewe nakujibu kivyako.

Unachotakiwa kuwa nacho ni plan hapo, siyo plan uliyoikuta tokea enzi za Mwana Nuru.

Unamfahamu Mwana Nuru? Au hujaisima historia ya hiyo wizara?
Plan zipo ndugu, soma tu taarifa zetu. Uwe na plan ya kusoma na kusikiliza matoleo ya taarifa zetu mbalimbali kama wengine. Itasaidia Sana. Karibu.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
"Mwenzetu" yupi huyo "hataki"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…