incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Amelaku gomzi kaka jiongezeSijaelewa huyo mume katest mtambo au mitambo? Ipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunataka video mkono wa baunsa
Hii video nimeitunza kwenye laptop yangu hadi leo km ushahidi wa hawa matapeli wanaojiita manabii huku wanakula kondoo wao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawahurumia wanae tuuHuyu maza huyu dah [emoji23][emoji23][emoji23] angekuwa maza angu sijui sura ningeificha wapi akyanani
Kakazwa vizuri,,Kwa hiyo ni mjamzito? Au ufiti gani anaongelea?
Usikute mumewe katest kakuta papa imepanuka na kuwa bwanga hapo anajibaraguza tu kuficha aibu yakeWAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, nchini Tanzania Dk. Dorothy Gwajima amewaacha na hamaki wakazi wa jiji la Mwanza mara baada ya kusema, baada ya yeye kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti ‘mitambo’ kwake na kukuta yupo ‘fiti’ kama mwanamke.
Ametoa kauli hivyo jana jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure ya Jijini Mwanza. Amesema chanjo haiathiri kitu chochote katika mwili ndio maana yeye yupo vizuri baada ya kuchanjwa chanjo hiyo na kuhimiza watu kwenda kuchanjwa, “Hakuna aliyechanjwa akageuka kuwa zombi.”
Mtu mwenye dhamana ya Waziri bila shaka anatakiwa kuwa makini kwenye matamko mbalimbali, kutoa kauli kama hii ya mambo ya faragha kati yake na mume wake, hata kama ni kwa kuhamasisha watu wakachanjwe chanjo ya COVID 19 kauli ya namna hii siyo nzuri amemwaibisha mume wake na amejiaabisha mwenyewe kwa hadhi aliyonayo.
Kauli hiyo haiwezi kuleta ushawishi wowote wa kuwafanya watu waitikie kupata chanjo hiyo, nafikiri ni vyema kamati za maadili na viongozi wastaafu kukaa na viongozi wa namna hii na kuwaonya kutokutumia kauli za aina hii maana hazifai.
Hivi kama mume wake angetest akakuta kuna mabadiliko ikatokea tafrani kati yao angeutangazia umma wa wa Tanzania jambo hilo?
Au kulikuwa na ulazima gani wa kutamka maneno ya aina hiyo?
Ni hayo tu, karibuni wadau na ninyi mtoe maoni yenu juu ya kauli hii ya mh waziri.
Mwanasiasa hajawahi kuwa na aibuMtu mwenye dhamana ya Waziri bila shaka anatakiwa kuwa makini kwenye matamko mbalimbali, kutoa kauli kama hii ya mambo ya faragha kati yake na mume wake, hata kama ni kwa kuhamasisha watu wakachanjwe chanjo ya COVID 19 kauli ya namna hii siyo nzuri amemwaibisha mume wake na amejiaabisha mwenyewe kwa hadhi aliyonayo. [emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1752]
Huyu bibi sijui kama ni mzima kichwaniMtu mwenye dhamana ya Waziri bila shaka anatakiwa kuwa makini kwenye matamko mbalimbali, kutoa kauli kama hii ya mambo ya faragha kati yake na mume wake, hata kama ni kwa kuhamasisha watu wakachanjwe chanjo ya COVID 19 kauli ya namna hii siyo nzuri amemwaibisha mume wake na amejiaabisha mwenyewe kwa hadhi aliyonayo. [emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1752]
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, nchini Tanzania Dk. Dorothy Gwajima amewaacha na hamaki wakazi wa jiji la Mwanza mara baada ya kusema, baada ya yeye kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti ‘mitambo’ kwake na kukuta yupo ‘fiti’ kama mwanamke.
Ametoa kauli hivyo jana jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure ya Jijini Mwanza. Amesema chanjo haiathiri kitu chochote katika mwili ndio maana yeye yupo vizuri baada ya kuchanjwa chanjo hiyo na kuhimiza watu kwenda kuchanjwa, “Hakuna aliyechanjwa akageuka kuwa zombi.”
Mtu mwenye dhamana ya Waziri bila shaka anatakiwa kuwa makini kwenye matamko mbalimbali, kutoa kauli kama hii ya mambo ya faragha kati yake na mume wake, hata kama ni kwa kuhamasisha watu wakachanjwe chanjo ya COVID 19 kauli ya namna hii siyo nzuri amemwaibisha mume wake na amejiaabisha mwenyewe kwa hadhi aliyonayo.
Kauli hiyo haiwezi kuleta ushawishi wowote wa kuwafanya watu waitikie kupata chanjo hiyo, nafikiri ni vyema kamati za maadili na viongozi wastaafu kukaa na viongozi wa namna hii na kuwaonya kutokutumia kauli za aina hii maana hazifai.
Hivi kama mume wake angetest akakuta kuna mabadiliko ikatokea tafrani kati yao angeutangazia umma wa wa Tanzania jambo hilo?
Au kulikuwa na ulazima gani wa kutamka maneno ya aina hiyo?
Ni hayo tu, karibuni wadau na ninyi mtoe maoni yenu juu ya kauli hii ya mh waziri.
Kwanza ni aibu kubwa kuongelea mambo kama hayo hadharaniUsikute mumewe katest kakuta papa imepanuka na kuwa bwanga hapo anajibaraguza tu kuficha aibu yake
SIyo vitu vya kawaida kuongelea mambo kama hayo kwenye publicLabda kuna uvumi kwamba mtu akichanjwa chanjo ya UVIKO basi uwezo wa "tendo" la kujamiana kiu -jumla huathirika, basi yeye kama Daktari na Waziri mwenye dhamani anapaswa awe "case study" kuweka wazi jambo hilo kwa umma na lazima mumewe atambue dhamana aliyoibeba mkewe kwa taifa, na hapo hakuna aibu tena, masuala ya afya na tiba hayana aibu. 🤣