Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Biteko
Aweso
Mtaka
Mavunde
Jokate
Nikki wa pili
Aweso
Mtaka
Mavunde
Jokate
Nikki wa pili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wengine mnaowasifu waliotoa hela zao mfukoni?Katoa hela zake mfukoni ili haya yafanyike? hivi maneno hisani na wajibu ni magumu sana kuyaelewa..unaweza kumpigia makofi mlinzi nyumbani kwako kila ukiamka asubuhi? ni zaidi ya utaahira!
Ndio maana nimetoa mtazamo wangu,au ulitaka nisemeje labda?Kutofautiana mtazamo tu mkuu, hatuwezi kufafana kimawazo
Makonda ni 🔥 🔥 🔥Siasa za dijitali, siasa za mitandaoni, siasa za Instagram, siasa za uchawa.
Ukiwa na akili timamu huwezi kushabikia siasa za Makonda na umapepe wake wa kulazimisha kukubalika Kila pembe ya nchi.
Makonda ni moja ya viongozi wachapakazi sana ila tatizo lake ni moja Kila anachokifanya anataka Dunia nzima ijue. Kwangu huu nauita ni ulimbukeni na ushamba.
Humphrey Polepole miongoni mwa waliomkubali na kukubalika na hayati Magufuli naye ni wale wenye siasa za kupenda kuonekana mbele, yaani wao kwanza kuliko maslahi ya taifa.
Shaka Hamdu Shaka
Huyu Naye alikuja na Kasi fulani hivi wao hutaka waitwe wachapakazi lakini ukweli ni kujiweka front ili tu kuongeza curriculum vitae kwa masilahi yao.
Lengai Sabaya
Huyu nisiongee sana wengi wanajua, umri wake tu ulionesha namna alivyomjinga kwa kutaka engagement kubwa kwa kuumiza baadhi ya raia wake kwa kisingizio chake cha kutanguliza masilahi ya nchi.
Wengine ni Albert Chalamila homeboy, Kenan kihongosi, Ally Hapi,
Ni wachapakazi haswa ila tatizo hawana utulivu.
Wapo wengi wanaojiita machawa wenye vyeo na wasio na vyeo jambo ambalo huenda serikali ni kama imebariki.
Pamoja na yote hayo wapo vijana wengi tu Wana siasa nzuri sana miongoni mwa hao ni Dotto Biteko.
Alionekana ni sukumagang kwa mujibu wa mgawanyo kwenye chama cha mapinduzi, alitabiriwa kushindwa au kuachwa kwenye hii serikali ya mama lakini bado kijana anadunda.
Utulivu wake, kufanya kazi kwenye eneo lake bila kujipendekeza, kumefanya afike alipo, ni naibu waziri mkuu ,pia ni waziri wa nishati.
Yanazungumzwa mengi kwamba huenda nafasi alizopewa ni mtego lakini ukweli huyu ni hazina kubwa kwenye hii nchi. Nina Imani naye huyu jamaa.
NB; hakuna binadamu aliyekamilika, jamaa ana mapungufu yake kama ilivyo kwa yeyote yule.
View attachment 2987389
Hao wengine mnaowasifu waliotoa hela zao mfukoni?
Mama anafanikisha,mama ndio role model wa Biteko
View: https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1788848093401583877?t=akbb_Fj24DXqGurv2u9s2w&s=19
MwendazakeNani tumemsifu na kwa jambo gani...
Mwendazake Yupo??Mwendazake
Bora useme, huwa nashangaa cha ajabu ni kipi!! maana humu nyuzi kibao; mara Bashungwa ndio anaandaliwa kuwa rais wa Awamu ya 7, mara ndio waziri mkuu ajaye ilihali sijaona la maana.Hivi Bashungwa mnaamini kabisa kuna kiongozi hapo? Huyo anaweza kuwa mwadilifu ila kwenye uongozi hasa Wizara ya ujenzi hakuna kitu!
Kweli aese!Bora useme, huwa nashangaa cha ajabu ni kipi!! maana humu nyuzi kibao; mara Bashungwa ndio anaandaliwa kuwa rais wa Awamu ya 7, mara ndio waziri mkuu ajaye ilihali sijaona la maana.