Waziri Doto Biteko na utulivu kwenye siasa zake

Makonda ni 🔥 🔥 🔥
 
Hivi Bashungwa mnaamini kabisa kuna kiongozi hapo? Huyo anaweza kuwa mwadilifu ila kwenye uongozi hasa Wizara ya ujenzi hakuna kitu!
Bora useme, huwa nashangaa cha ajabu ni kipi!! maana humu nyuzi kibao; mara Bashungwa ndio anaandaliwa kuwa rais wa Awamu ya 7, mara ndio waziri mkuu ajaye ilihali sijaona la maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…