Waziri George Simbachawene: Waliowashambulia wapenzi wakiwa faragha kwa madai ya kuwafumania wakamatwe

Tutawafunga mkitufumania.
Utamfunga nani sasa na wewe ni mke halali hio aibu utayopata na makelele toka kwa mama yako huko kijijini hamna rangi utaacha ona πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kulipa mahari, kuishi kwa mume au kutumuia jina lake sio vigezo vya kummiliki mwanamke, kama ni hivyo basi mwanamke hana haki ya kumfumania mume wake.
Ana haki ya kumfumania mume wake sababu na yeye yupo kwenye mkataba wa ndoa pia.
 
Hili ndilo ambalo lilinijia kichwani wakati nasoma title ya uzi ila nikashangaa mada ni tofauti kabisa!

Hii tabia inakera sana yani jamani, mtu anamla demu wake kwenye ndinga yake nyie mnamfanyia ambush ni utoto na tabia za kishamba. Hili ningependa waziri aliangazie kwa ukaribu!
 
Hahahahaha hio tamu sana kmmmk, ni fujo zisizoumiza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wizi ni kosa la jinai ambalo lina adhabu zake kabisa mahakamani, kufanya mapenzi na mke au mume wa mtu sio kosa kisheria.
Hahahahah sio kosa kisheria πŸ˜‚ endelea kuwaza ujinga hivyo hivyo! Ukitaka kuamini sio kosa kamtombee mkewe huyo waziri halafu ajue dhahiri unamtombea uone nini kitakukuta
 
Kumbe nawewe unagongewa mkuu πŸ˜…
 
Duuh! Huyu bwana yalimkuta miaka ya nyuma Dodoma hotel na mke wa mtu red handed ikamtoka 15M🀣🀣🀣 leo kashikilia Bango lazima cheti.
Hebu tuwekeeni clip tumfukulie kaburi mheshimiwa ambaye naye ni mwanachama wa kugonga wake za wenzie
 
Mfano nimemtongoza mkeo barabarani lakini mimi aliniambia hana mtu then tukakubaliana kupeana mema,mimi kosa langu ni lipi hapo?
Hilo haliwezi leta madhara iwapo utakula mara moja na kupangusa mikono! Hawa wanaofumaniwa ni wale mtu anapiga kambi kwenye mbususu ya mkeo na kusababisha hali ya vita mjengoni kwakoπŸ˜… mke hakusikilizi wala anakuletea jeuri!
 
Nakumbuka story ya SINGIDA.....
 
Tabia hii ipo hata kwa polisi ili kujipatia pesa.
Wanavijana wa mtaani wanazunguka mitaani has a sehemu za wazi(open spaces) viwanja vya mpira wakiwakuta mwanamke na mwanaume wamesimama au wamekaa nyakati za usiku wanaongea yao,wanawakata kuwa walikuwa wanafanya mapenzi huku wakiwapia simu polisi wa doria.
Kinachohitajika hapo ni pesa



Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mi nime quote maneno ya waziri tu, hayo mengine kila mmja anaamua nini cha kufanya na kukomaa/kuzikabili consequences baadaye.
 
Tuongee kikubwa, kumbe sheria ya faragha inaruhusu hadi kunyandua mbususu za wake za watu?

Ndiyo, ni watu wazima na wamekubaliana. Ikitokea umewashika, wapeleke kwenye vyombo vya sheria.
 
Unajua Kuna vitu vya msingi Sana yeye Kama waziri hatoki adharani kutoa kauli,Ila vitu visivyo na manufaa ya taifa mawaziri huwa wanatoa kauli.nawaza nawazaa lakini jibu sipati?

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu yaani tit4tat.

Unanishauri na Mimi nitafute mchepuko mke Wa MTU ili twende sawa na wife sio?
yeah no hard feelings enjoy maisha mkuu life is too short ukichanganya na haya ma covid utakufa hujafaidi hela yako
 
Hivi ile SHERIA INAYOHUSU HALI ZA WATU BADO IPO?
 
hiyo tabia ndio mwisho jana bosi wao ndio kaisha sema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…