Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
Polisi ni jibwa, lenye ufahamu linalojitoa fahamu, inategemea lumetumwa kwa NaniNi wazi IGP Sirro ameshaogopa kumkamata Askofu Gwajima na ni CCM damu damu,, bila aibu anasema eti "tutawashauri watatute jambo hili kwa njia ya mazumgumzo".
Mbona hajawahi kuwashauri wapinzani kutatua matatizo kwa njia ya mazungumzo, huwa anatoa vitisho na kuwakamata kwa nguvu.
Rekebisha,Huyu Padre wa CCM na mbunge wa kura za wizi Gwajima anakivuruga chama na kukigawa mapande, zarau za padoro huyu zimevuka mipaka na sasa ameanza kuota mapembe kwa kusema yupo tayari kupoteza, ubunge, dongo hili wamepigwa wakuu wa chama ,inaonekana hata Siro ameelemea upande wa Gwajima kwa kukataa amri ya kumkamata,hili nalo linatoa viashiria kuwa Gwajima hayupo peke yake anawatu wanaompa jeuri,ni umoja au mtandao unaopinga juhudi za Raisi Samia.
Hawa polisi walikuwa wanapokea amri za wakuu wa wilaya na hata madiwani,leo polisi wanadai barua ,sasa tuseme Jeshi la Polisi limeanza kufuata sheria ?
Tunasubiri vikao vya Chama kumdhibiti Padiri Gwajima ,Je Mashaka Hamidu Mashaka ataweza ?
Bro umeunganisha dots,hii vita sio ndogo ,CCM wenyeviti wasipoangalia akina Gwajima gangs watapindua meza wanauwinda uraisi 2025 na hiiki anachokifanya Gwajima ni kuzidi kwa wao kujipambanua na hisia zinaonyesha ,kufikia Siro kudai barua kwa Waziri ambae ni mteule wa Raisi,Team Gwajima inaanza kuota pembe.Sirro yupo sahihi maana Nadhani pro JPM wanajiandaa kujikusanya na kiunganishi kinaweza kuwa Gwajima. Kitendo cha Mbowe kwenda kudai katiba mpya mwanza-usukumani ni kujaribu karata yake maana 2025 pro JPM ndiye Rais. Najua Mshana Jr utanipinga lakini haya ni mahesabu mazito
Sirro ana inteligensia kumbuka na yupo royal kwa SamiaBro umeunganisha dots,hii vita sio ndogo ,CCM wenyeviti wasipoangalia akina Gwajima gangs watapindua meza wanauwinda uraisi 2025 na hiiki anachokifanya Gwajima ni kuzidi kwa wao kujipambanua na hisia zinaonyesha ,kufikia Siro kudai barua kwa Waziri ambae ni mteule wa Raisi,Team Gwajima inaanza kuota pembe.
Watanzania wengi husoma ila hawawaelimikiChief kaa chini tena ikiwezekana ingia darasani ukasome. We umeona wapi mtu aliyeko kwenye Local government (Serikali za mitaa) ana mamlaka kuliko aliyeko kwenye Central govenment? (Serikali kuu)
Hao wakuu wa mikoa wote wako chini ya waziri mwenye dhamana ya serikali za mitaa tofauti na mawaziri wote wengine.
Ciao! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Wewe ndye kilaza waziri ni mwakilishi wa rais ndyo maana anatembea na bendera ya taifa kwenye gari yakeWaziri wa afya ana mamlaka ya kuamrisha jeshi la polisi? Hii nchi inaongozwa na vilaza watupu
Sirro kagoma kumkamata, anasema mpaka apate barua ya maagizo.Je atakamatwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji779]???
Tatizo ni shule zenu za kata, mbona polisi wamemkataliaWewe ndye kilaza waziri ni mwakilishi wa rais ndyo maana anatembea na bendera ya taifa kwenye gari yake
Kama kuna mtu anatoa habari potofu kuhusu afya za Watanzania waziri wa afya ana jukumu la kuomba vyombo vya usalama viingilie. Hiyo ndiyo coordination kwenye serikali, wizara zinafanya kazi pamoja.Waziri wa afya ana mamlaka ya kuamrisha jeshi la polisi? Hii nchi inaongozwa na vilaza watupu
Mbona wamemgomea?Kama kuna mtu anatoa habari potofu kuhusu afya za Watanzania waziri wa afya ana jukumu la kuomba vyombo vya usalama viingilie. Hiyo ndiyo coordination kwenye serikali, wizara zinafanya kazi pamoja.
Hilo la kugoma haliniusu ila ninachojua mtu akihatarisha usalama wa watu kwa kutoa kauli za uongo ni kosa.Mbona wamemgomea?
Kama kuna mtu anatoa habari potofu kuhusu afya za Watanzania waziri wa afya ana jukumu la kuomba vyombo vya usalama viingilie. Hiyo ndiyo coordination kwenye serikali, wizara zinafanya kazi pamoja.