#COVID19 Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

This is not Haiti or Jamaica, kwamba kuwe na mtu ana nguvu kuliko serikali! Kwa hiyo sababu anaungwa mkono na wananchi wengi aachiwe aropoke hovyo? Aende akathibitishe kuwa Samia, Majaliwa, Mabeyo, Sirro n.k walichomwa maji badala ya chanjo halisi
Sijasemaa aachwe, hao ni chama kimoja, simu moja ingetosha kumaliza hili
 
Safi sana
 
Leta hapa data walizotoa kwamba chanjo hii haina madhara for the next ten years. Weka hapa hizo proof.
We Ni taahira Kweli

for the next 10 years? Hahahahaaa

jifunzeni basics online, msiwe misukule ya watu kama askofu mbunge Gwajima sayansi Iko clear

chanjo imeanza kutolewa March
 
kwanini wasiache maisha yakaendelea badala ya kuanza kulumbana
 
Ngoma inogile
 
Me nawazoom kwa mbali, naangalia picha linavyokwenda

#mitano tena
 
.
 

Attachments

  • 2876019_fb_20210809_203128.mp4
    453.4 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…