Na hakuna upumbavu kama mchungaji wa kondoo kuwatafuna hao kondoo, nafikiri tunaongea lugha moja.God has given you the autonomy to chose the way you wish. Lakini, ujue Mungu hana radhi na mpumbavu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hakuna upumbavu kama mchungaji wa kondoo kuwatafuna hao kondoo, nafikiri tunaongea lugha moja.God has given you the autonomy to chose the way you wish. Lakini, ujue Mungu hana radhi na mpumbavu.
Gwajima tapeli wa kujipachika uaskofuGwajima yupi?
Matusi achaTapeli wewe na mamayako tuachie gwaima wetu.
Mbasha ni shahidiNa hakuna upumbavu kama mchungaji wa kondoo kuwatafuna hao kondoo, nafikiri tunaongea lugha moja.
Sijasemaa aachwe, hao ni chama kimoja, simu moja ingetosha kumaliza hiliThis is not Haiti or Jamaica, kwamba kuwe na mtu ana nguvu kuliko serikali! Kwa hiyo sababu anaungwa mkono na wananchi wengi aachiwe aropoke hovyo? Aende akathibitishe kuwa Samia, Majaliwa, Mabeyo, Sirro n.k walichomwa maji badala ya chanjo halisi
Hahaha niliJua yule tapeli mwingine wa kike maana wote ni matapeli ila mmoja saa mbovu imesema ukweliGwajima tapeli wa kujipachika uaskofu
Safi sanaButiama.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima ameliagiza Jeshi la Polisi pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini ( Takukuru) kumkamata na kumhoji mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi k
We Ni taahira KweliLeta hapa data walizotoa kwamba chanjo hii haina madhara for the next ten years. Weka hapa hizo proof.
A quotation at a wrong place. Is Gwajima God?Mtashindana lakini hamtashinda.
Gwajima huwezi kushindana na Mungu, hata ufanyeje.
Si kwa majeshi wala silaha , ila ni kwa Roho Wa Bwana.
kwanini wasiache maisha yakaendelea badala ya kuanza kulumbanaButiama.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima ameliagiza Jeshi la Polisi pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini ( Takukuru) kumkamata na kumhoji mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya Uviko 19.
Dk Gwajima ametoa agizo hilo leo Jumanne Agosti 17, 2021 katika kijiji cha Kyatunge wilayani Butiama akibainisha kuwa Askofu Gwajima amekuwa akitoa taarifa za kupotosha kwa makusudi jambo linaloivuruga wizara yake na Serikali katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo.
Credits: Mwananchi
Pia soma
- #COVID19 - Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia
ndio anayo mamlaka hayo, wewe tu uelewa wako mdogoWaziri wa afya ana mamlaka ya kuamrisha jeshi la polisi? Hii nchi inaongozwa na vilaza watupu
Ngoma inogileButiama.