#COVID19 Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

#COVID19 Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

This is not Haiti or Jamaica, kwamba kuwe na mtu ana nguvu kuliko serikali! Kwa hiyo sababu anaungwa mkono na wananchi wengi aachiwe aropoke hovyo? Aende akathibitishe kuwa Samia, Majaliwa, Mabeyo, Sirro n.k walichomwa maji badala ya chanjo halisi
Sijasemaa aachwe, hao ni chama kimoja, simu moja ingetosha kumaliza hili
 
Butiama.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima ameliagiza Jeshi la Polisi pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini ( Takukuru) kumkamata na kumhoji mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi k
Safi sana
 
Leta hapa data walizotoa kwamba chanjo hii haina madhara for the next ten years. Weka hapa hizo proof.
We Ni taahira Kweli

for the next 10 years? Hahahahaaa

jifunzeni basics online, msiwe misukule ya watu kama askofu mbunge Gwajima sayansi Iko clear

chanjo imeanza kutolewa March
 
Butiama.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima ameliagiza Jeshi la Polisi pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini ( Takukuru) kumkamata na kumhoji mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya Uviko 19.

Dk Gwajima ametoa agizo hilo leo Jumanne Agosti 17, 2021 katika kijiji cha Kyatunge wilayani Butiama akibainisha kuwa Askofu Gwajima amekuwa akitoa taarifa za kupotosha kwa makusudi jambo linaloivuruga wizara yake na Serikali katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

Credits: Mwananchi

Pia soma
- #COVID19 - Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia
kwanini wasiache maisha yakaendelea badala ya kuanza kulumbana
 
Ngoma inogile
 
Me nawazoom kwa mbali, naangalia picha linavyokwenda

#mitano tena
 
Back
Top Bottom