Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]. Ngoja tuone nani kichwa!, mpambano ukiwa mkali zaidi bila mshindi,tutaamulu matuta yapigwe!!,Mtu na shemeji yake yanatunishiana misuli.
God has given you the autonomy to chose the way you wish. Lakini, ujue Mungu hana radhi na mpumbavu.Kwahiyo yule Kibwetere wa Bongo ndio Mungu wenu!
Is because you don't know Who God is Is.Mungu hawezi kumtumia mzinzi, mwongo na mwizi wa kura.
Kwa kuwa hawana hoja, bila shaka wanataka kumuunganisha na mbowe.TAKUKURU wanahusikaje kwenye masuala ya chanjo ?
wote ni magwaji gwaji hakuna shida kitaeleweka tu,nilifikiri ni yule sirro katoa kauliButiama.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima ameliagiza Jeshi la Polisi pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini ( Takukuru) kumkamata na kumhoji mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi
Means Gwajiboy ni Kaka/Mdogo wa Gwaji mme wa Dorothy?Mtu na shemejie..😂
This is not Haiti or Jamaica, kwamba kuwe na mtu ana nguvu kuliko serikali! Kwa hiyo sababu anaungwa mkono na wananchi wengi aachiwe aropoke hovyo? Aende akathibitishe kuwa Samia, Majaliwa, Mabeyo, Sirro n.k walichomwa maji badala ya chanjo halisiHahaha huyu maza anachemka, hii sio namna bora ya kupambana na Gwajiboy, hawaoni anaungwa mkono na wananchi wengi?
God has given you the autonomy to chose the way you wish. Lakini, ujue Mungu hana radhi na mpumbavu.Kwahiyo yule Kibwetere wa Bongo ndio Mungu wenu!
Gwaji vs GwajiGwaji against Gwaji.....patamu hapo
Askofu Chidi ndiyo unamuita Mungu?Mtashindana lakini hamtashinda.
Gwajima huwezi kushindana na Mungu, hata ufanyeje.
Si kwa majeshi wala silaha , ila ni kwa Roho Wa Bwana.
Hata ibilisi ni mungu kwa wale wamuabuduo.God has given you the autonomy to chose the way you wish. Lakini, ujue Mungu hana radhi na mpumbavu.
Is because you don't know Who God is Is.
Askofu Chidi ndiyo unamuita Mungu?Mtashindana lakini hamtashinda.
Gwajima huwezi kushindana na Mungu, hata ufanyeje.
Si kwa majeshi wala silaha , ila ni kwa Roho Wa Bwana.
Gwajima yupi?Walimchelewesha tapeli gwajima