#COVID19 Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

#COVID19 Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

Why did they wait so long ? Damage aliyofanya ni kubwa mno
Wakimkamata then what?
Atapelekwa mahakamani au inakuwaje?
 
Butiama.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima ameliagiza Jeshi la Polisi pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini ( Takukuru) kumkamata na kumhoji mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi
wote ni magwaji gwaji hakuna shida kitaeleweka tu,nilifikiri ni yule sirro katoa kauli
 
Hahaha huyu maza anachemka, hii sio namna bora ya kupambana na Gwajiboy, hawaoni anaungwa mkono na wananchi wengi?
This is not Haiti or Jamaica, kwamba kuwe na mtu ana nguvu kuliko serikali! Kwa hiyo sababu anaungwa mkono na wananchi wengi aachiwe aropoke hovyo? Aende akathibitishe kuwa Samia, Majaliwa, Mabeyo, Sirro n.k walichomwa maji badala ya chanjo halisi
 
HABARI: Waziri wa Afya, Dk Dorothy Gwajima ameliagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumhoji Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima ili athibitishe kauli zake ambazo amekuwa akizitoa dhidi ya Serikali na viongozi juu ya chanjo ya Uviko-19-MCL
 
Back
Top Bottom