Mwakitombeo
Member
- Jun 29, 2021
- 59
- 73
selikali hii inavituko sna kwa sabbu wanatuludisha tulipotoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii pic yako ni og!!?Safi sana
Taasisi kupambana na Rushwa inaingiaje hapo?! kwani kuna pesa klitolewa kwake akaitafuna.!Butiama.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima ameliagiza Jeshi la Polisi pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini ( Takukuru) kumkamata na kumhoji mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya Uviko 19.
Dk Gwajima ametoa agizo hilo leo Jumanne Agosti 17, 2021 katika kijiji cha Kyatunge wilayani Butiama akibainisha kuwa Askofu Gwajima amekuwa akitoa taarifa za kupotosha kwa makusudi jambo linaloivuruga wizara yake na Serikali katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo.
Credits: Mwananchi
Pia soma
- #COVID19 - Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia
Labda mama kamwachia ofisi wakati huu akiwa Malawi.Waziri wa afya ana mamlaka ya kuamrisha jeshi la polisi? Hii nchi inaongozwa na vilaza watupu
Nina mashaka, huenda bishop alilisha mgegeda shemejie maana huyu jamaa hupiga kambi popote 😄Mtu na shemejie..😂
Doro vs Gwajiboy yani ni G & G kwenye track 🤣🤣waziri wa afya dk doros gwajima aliagiza jeshi la polisi kumkamata mbunge mh Gwajima kwasababu anapotosha uma pia amesema anayumbisha wizara yake.
waziri wa afya dk doros gwajima aliagiza jeshi la polisi kumkamata mbunge mh Gwajima kwasababu anapotosha uma pia amesema anayumbisha wizara yake.
🤣Nina mashaka, huenda bishop alilisha mgegeda shemejie maana huyu jamaa hupiga kambi popote 😄
Unashangaa Gwaji kuwa askofu?Kujiita askofu ni kuchafua hadhi ya uaskofu, kuwa askofu kuna kanuni zake sio kujitangazia kiholela. Kamati iliyokaa na kumpa Gwagima uaskofu waliangalia sifa za uaskofu? Bila shaka hawakuangalia ndio maana anapayuka ovyo. Chungu ulimi wako mbele ya serikali.
Amefanya kosa gani kisheria? Mbona huyo naibu waziri na waziri wake ndio walikuwa wanatuambia tupige nyungu?waziri wa afya dk doros gwajima aliagiza jeshi la polisi kumkamata mbunge mh Gwajima kwasababu anapotosha uma pia amesema anayumbisha wizara yake.
View attachment 1895637
Yaani waziri anataka kupangia watu vya kuongea kwenye mimbari za nyumba za Mungu!Amefanya kosa gani kisheria? Mbona huyo naibu waziri na waziri wake ndio walikuwa wanatuambia tupige nyungu?
Gwajima akikamatwa nitaamini kwamba nyuma ya hii chanjo kuna agenda ya siri
Gwajima kapewa nafasi ya kuthibitisha asilie lie uwanja Ni wake akathibitishe kuwa chanjo inasababisha watu wawe mazombiWameshatoa enough data
Ni wakati sasa gwajiboy athibitishe tuhuma dhidi ya chanjo feki, content ya chanjo na madhara ya chanjo