Mwizukulu jilala
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 1,095
- 937
Acheni usenge huyo dawa yake ni kumvua ubunge tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Gwajima aliwatuhumu watu kuwa wamepata kitu kidogo hapo Basi Takukuru watamuomba athibitishe hizo tuhumaTaasisi kupambana na Rushwa inaingiaje hapo?! kwani kuna pesa klitolewa kwake akaitafuna.!
Itumieni taasisi hii kwa jinsi ya majukumu yake. Tusipotoshe ukweli.
Tanzania hatujafikia kiwango hicho cha demokrasia na hata uelewa wa siasa katika jamii bado sana tusijeshangaa mume wa Gwajima (Dr) akimnunia mkewe (Kama sio kumtaliki), wakwe zake Dr. kama wapo wataacha laana za kufa mtu kwa kumfunga kaka/mtoto wao............ (Kama akifungwa) ........Mtu na shemejie..😂
Gwajima akachanganye madawa ana leseni ya kufanya hivyo?Wampeleke mahabara ya taifa kwenye kila aina chemical na kifaa atakachohitaji kwenye test zake athibitishe madai yake ili asiseme kaonewa bila ya kusahau na kichupa kimoja cha vaccine.
Akifika huko achanganye hayo madawa mbele ya camera kuthibitisha madai yake kwa umma nini kimo ndani hiyo vaccine kama anavyodai.
Bishop Gwajima anavuka mipaka yake.
Hata Mbowe anaungwa mkono na wananchi wengi lakini amekamatwa!Hahaha huyu maza anachemka, hii sio namna bora ya kupambana na Gwajiboy, hawaoni anaungwa mkono na wananchi wengi?
Leseni hiyo hiyo aliyotumia kutoa expert opinion ya kuwa dawa ni maji, sijui zimewekewa nini aruhusiwe kuendelea nayo kwenye kuthibitisha.Gwajima akachanganye madawa ana leseni ya kufanya hivyo?
Dorothy anavurugwa au ashajivuruga kupitia vitunguu na mivumbasi ya kuijvukizia?Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji. Mimi ndiye msemaji wa masuala ya afya nchini, nimechoka kuvurugwa naagiza akamatwe popote na akahojiwe juu ya haya madai - Dk. Gwajima
We unaona kuna swali pale au mipasho? Kuna swali pale?Wanasayansi watakimbia nchi
Maswali yale hayana majibu bara na pwani
Ulaya na Asia
Yeye mwenyewe hawe ku prove hojq zake kisayansi. why wapambane nae wkt hana utaalqm wowote?Baada ya askofu Gwajima kukamatwa na Takukuru ni vema akahojiwa na jopo la wanasayansi ili baada ya hapo mjadala ufungwe rasmi tuendelee na majukumu mengine
Mungu ni mwema wakati wote!
Hii nchi kila Waziri ana mamlaka ya kuruhusu mtu kukamatwa kwa sasa.Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji. Mimi ndiye msemaji wa masuala ya afya nchini, nimechoka kuvurugwa naagiza akamatwe popote na akahojiwe juu ya haya madai - Dk. Gwajima...
Yaana majibu sana tu. labda wana sayansi wa bongo ndio washindweWanasayansi watakimbia nchi
Maswali yale hayana majibu bara na pwani
Ulaya na Asia