[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu Mama akirudi kwa Mumuwe atachapwa sana viboko na Mumewe,unampelekaje Shemeji yako police!? Je ulimshitakia kwa Kaka yake Kwanza!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu Mama akirudi kwa Mumuwe atachapwa sana viboko na Mumewe,unampelekaje Shemeji yako police!? Je ulimshitakia kwa Kaka yake Kwanza!?
💪Mkono wa baunsa 😄😄😄
Chidi alipiga uno mbili tu chaliiiAskofu MAUNO
Siri zinaanza kutoka!!Mkono wa baunsa [emoji1][emoji1][emoji1]
Google basi dogoooooHicho kichaka hakitakusaidia sana, tuambiwe, madhara (side effects) za hizo chanjo baada ya miaka mi5 ni zipi? Kwa atakayechomwa na kwa watoto atakaowazaa, ziwekwe wazi na watuambie walifanya hayo majaribio kuanzia mwaka gani hadi mwaka gani...
Nadhani kaa pembeni tu.Google basi dogooooo
Jameni mwacheni Doroth aupige mwingi.Jibuni hoja kwa hoja na si kuweweseka kumkamata Josepht.
Wakati wa Magufuli ni nyie hao hao mlokuwa mstari wa mbele kuungana naye kupinga chanjo.Wewe waziri wa afya ulionyesha mifano mingi na kusisitiza matumizi malimao,vitunguu,pilipili na takata nyingine nyingi,pamoja na kupiga nyungu kuwa ndo dawa za korona.Mlikwenda hata kuchukua uchafu mwingine kule Madagascar kwa ndege ya serikali.Sasa toeni proof za kisayansi kudhibitisha kwamba chanjo ni salama na si kusumbua wale wanaosema si salama kwa maana ninyi tangu mwanzo mlituaminisha hivyo.
Acheni kuwa na double standard.
Kaa mbele katikati basiNadhani kaa pembeni tu.
Pisha bhana..Kaa mbele katikati basi
Najiuliza je ni kweli kwamba mwwchama wa ccm ambaye atachaguliwa ama kuteuliwa nafasi ya uongozi wa juu wa chama cha mapinduzi hafanyi kiapo cha utii kwa viongozi wao wakuu na hata kwa chama kabla ya kukabidhiwa wadhifa husika? na kama ndiyo je hawa wanaopingana na viongozi wao kwa habari ya chanjo wanapta wapi ujasiri? na chama kinawachukulia hatua gani za kwadhibiti ama kuwaadhibu kwa utovu wa nidhamu kwa chama na kwa viongozi wakuu kabla hawajasababisha madhara makubwa zaidi kwenye chama na kwa taifa?Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji. Mimi ndiye msemaji wa masuala ya afya nchini, nimechoka kuvurugwa naagiza akamatwe popote na akahojiwe juu ya haya madai - Dk. Gwajima
--
Butiama.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima ameliagiza Jeshi la Polisi pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini ( Takukuru) kumkamata na kumhoji mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya Uviko 19.
Dk Gwajima ametoa agizo hilo leo Jumanne Agosti 17, 2021 katika kijiji cha Kyatunge wilayani Butiama akibainisha kuwa Askofu Gwajima amekuwa akitoa taarifa za kupotosha kwa makusudi jambo linaloivuruga wizara yake na Serikali katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo.
Credits: Mwananchi
Pia soma
- #COVID19 - Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia
Moja ya AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwikoNajiuliza je ni kweli kwamba mwwchama wa ccm ambaye atachaguliwa ama kuteuliwa nafasi ya uongozi wa juu wa chama cha mapinduzi hafanyi kiapo cha utii kwa viongozi wao wakuu na hata kwa chama kabla ya kukabidhiwa wadhifa husika? na kama ndiyo je hawa wanaopingana na viongozi wao kwa habari ya chanjo wanapta wapi ujasiri? na chama kinawachukulia hatua gani za kwadhibiti ama kuwaadhibu kwa utovu wa nidhamu kwa chama na kwa viongozi wakuu kabla hawajasababisha madhara makubwa zaidi kwenye chama na kwa taifa?
kwa mfano kama mbunge wa chama kinachotawala anaweza kusimama hadharani akampinga mwenyekiti wake wa chama ambacho ndicho kilichompatia ridhaa ya uongozi huu ni sawa kukosa adabu na kuondokewa kwa utii kulikopitiliza na hii ni dharau sana kwa kiongozi wako mkuu wa chama chako
lakini kwa sababu mtu huyu siyo mwenye madaraka ya mwisho kwenye chama ni bora kamati kuu ya chama wakakaa kwa ajili yake na kumjadili mwisho wa siku wafikie mahali wakubali kumfuta uanachama kwenye chama jambo ambalo litakalomsababisha mtu huyo pia kukosa ama kupoteza sifa ya kuendelea na uongozi Kwenye nafasi ambazo amezipata kupitia chama ama ambazo sifa ya kuzipata ni kuwa mwanachama wa chama husika
ikiwa hivyo watu ama viongozi watakumbuka kuwaheshimu na kuwatii wakuu wao ktk madaraka.
Only Tanzania kuna vioja hiviWaziri wa afya ana mamlaka ya kuamrisha jeshi la polisi? Hii nchi inaongozwa na vilaza watupu
Huenda akaliamsha dude kama alivyopata kufanya kwa Daud BashiteMch Gwajima leo atalala kimachale sana
Mda huu tayari Gwajima yupo busy kusaka siri zake udhaifu wake wote mapungufu yake yote apate kuyaanika kwa ile style ya kuliamsha dudeHuyu waziri atapelekewa moto na mchungaji gwajima hadi aombe poo
It's a War against two idiots."Hatujapa taarifa rasmi ya maandishi ya kutakiwa kumkamata Mhe.Gwajima, lakini hata tukiipokea tutachunguza iwapo matamshi yake yanaangukia Kwenye Jinai, lakini tunaweza kuwashauri wakatatua jambo hili kwa njia za mazungumzo badala ya Polisi"-IGP Simon Sirro
"Hatujapa taarifa rasmi ya maandishi ya kutakiwa kumkamata Mhe.Gwajima, lakini hata tukiipokea tutachunguza iwapo matamshi yake yanaangukia Kwenye Jinai, lakini tunaweza kuwashauri wakatatua jambo hili kwa njia za mazungumzo badala ya Polisi"-IGP Simon Sirro
0° angekuwa anatumia busara na hekima hizi ku handle political issues, nchi hii ingekuwa Paradiso
"Hatujapa taarifa rasmi ya maandishi ya kutakiwa kumkamata Mhe.Gwajima, lakini hata tukiipokea tutachunguza iwapo matamshi yake yanaangukia Kwenye Jinai, lakini tunaweza kuwashauri wakatatua jambo hili kwa njia za mazungumzo badala ya Polisi"-IGP Simon Sirro
View attachment 1896374