Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
SanaHuyu waziri tulipigwa.....
Mapema saa 4 hiviHuyu waziri tulipigwa.....
Hiyo ni social interaction.....tatizo mmekariri kiongozi ni jitu liko serious muda wote. Naye ni binadamu jamani,ana haki ya kufurahi.Huyu waziri tulipigwa.....
Sijalenga hiyo ngoma walaHiyo ni social interaction.....tatizo mmekariri kiongozi ni jitu liko serious muda wote. Naye ni binadamu jamani,ana haki ya kufurahi.
Kwamba yupo uchi hapo ndo tujadili?Sijalenga hiyo ngoma wala
Utakachoona wewe kinafaa kujadili, jadili....huo uchi mi sijauonaKwamba yupo uchi hapo ndo tujadili?
Na jamaaMlipigwa na nani??
Kakojoe ulale. Eti"Huyu waziri tulipigwa".Utakachoona wewe kinafaa kujadili, jadili....huo uchi mi sijauona
Namna alivyoshughulishia Delta aisee tulipigwaSijalenga hiyo ngoma wala
Kosa lake ni lipi mkuu.Huyu waziri tulipigwa.....
Niletee Doroth Gwajimaaaaa!Namna alivyoshughulishia Delta aisee tulipigwaView attachment 1894819
Hana kosa, angepewa wizara nyingine hata sanaa huko michezo, hiyo aliyonayo ni nyeti haihitaji comedyKosa lake ni lipi mkuu.
kucheza ni sitarehe
Huyo jamaa muda wote anakuaga nyuma ya Dorothy hadi nilikua najua ndio mme wake πππNamna alivyoshughulishia Delta aisee tulipigwaView attachment 1894819
Sawa dadaKakojoe ulale. Eti"Huyu waziri tulipigwa".
Hizi stress zitakuua kijana.
Hana kosa, angepewa wizara nyingine hata sanaa huko michezo, hiyo aliyonayo ni nyeti haihitaji comedy
Mimi hata ukaniita nani,kikubwa tu najua akili yako haina akili.Sawa dada