Waziri Gwajima akicheza Ngoma ya Egumba akiwa ziarani Musoma

Waziri Gwajima akicheza Ngoma ya Egumba akiwa ziarani Musoma

Huyu waziri tulipigwa.....
Tena mchana kweupee! Huyu standup comedy ndio sehemu sahihi kwake
Hiyo ni social interaction.....tatizo mmekariri kiongozi ni jitu liko serious muda wote. Naye ni binadamu jamani,ana haki ya kufurahi.
Social interaction na korona hii, hatakiwi kujichanganya hivyo kipindi hiki, waziri gani anajichetua kupitiliza?
 
Huyu Dada yupo very social ni mcheshi, mchangamfu, mchapa kazi kwa stail ambayo hatumii nguvu nyingi bali anatumia sanaa yake ya asili kuwasilisha ujumbe. Metusela alibahatisha mke bora kabisa na sii rahisi kukutana na kitu kinachoitwa stess unapobarikiwa na mke kama huyu, mcheshi, mcha Mungu na Genius
 
Hana kosa, angepewa wizara nyingine hata sanaa huko michezo, hiyo aliyonayo ni nyeti haihitaji comedy
Ni daktari huyo, kabla ya uwaziri amehudumu kama daktari katika hospitali zetu, kosa lake ni kusosholaizi na hao wananchi au nini haswa?
Personality hazifanani, kikubwa anatimiza majukumu yake ipasavyo.
 
Ni daktari wa nini? Pediatrician?
 
Back
Top Bottom