Waziri Gwajima: Alichofanyiwa binti wa Yombo ni kitendo kibaya kisicho na utu, nimewasiliana na Waziri wa Mambo ya Ndani ili haki itendeke

Waziri Gwajima: Alichofanyiwa binti wa Yombo ni kitendo kibaya kisicho na utu, nimewasiliana na Waziri wa Mambo ya Ndani ili haki itendeke

Juzi nilikuwa home na mabinti zangu wawili nikawa namuulize yule mkubwa ukiwa mkubwa unataka kufanya kazi gani ? Kale kadogo kakaitikia chap me nataka kuwa polichi aseee nilikasirika sana hii kazi hata bure bora nikaokote makopo sio kufanya kazi ya laana ya polisi tz .
Mungu aunusuru uzao wangu na hiyo kazi ya kijambazi.
 
Mungu aunusuru uzao wangu na hiyo kazi ya kijambazi.
Yakikukuta au yakitokea kwenye familia yako yenye kufanana na alichofanyiwa huyo Binti...

Utaelewa ni hiari au kujiuza
Acha hisia police wanafanya uchunguzi wewe unawapinga bila utafiti wowote
Peleka ushahidi kama alibakwa.
Hivi mtu abakwe na wanaume 4 akae kimya Toka mwezi wa 4
Haya alitibiwa wapi hayo majeraha ya kubakwa? Bila pf3
 
Nimekuambia na ninakuambia tena..
Yakitokea kwako au kwa Binti yako...
Utaelewa ulichomaanisha...
 
Uchunguzi wa hivi
- Alikuwa kama anajiuza
_ walikuwa kama walevi
_ walikuwa kama wavuta bangi.

Ndio taairifa ya Uchunguzi hiyo?

😆😆😆
Acha hisia police wanafanya uchunguzi wewe unawapinga bila utafiti wowote
Peleka ushahidi kama alibakwa.
Hivi mtu abakwe na wanaume 4 akae kimya Toka mwezi wa 4
Haya alitibiwa wapi hayo majeraha ya kubakwa? Bila pf3
 
Acha hisia police wanafanya uchunguzi wewe unawapinga bila utafiti wowote
Peleka ushahidi kama alibakwa.
Hivi mtu abakwe na wanaume 4 akae kimya Toka mwezi wa 4
Haya alitibiwa wapi hayo majeraha ya kubakwa? Bila pf3
Wewe wangekulawiti ingekuchukua muda gani kwenda polisi?

Wengine wanabakwa wanapitia depression na hata wanaamua kujiua...

Ila we jama ni m5enge sana aisee sijapata kuona.
 
Wewe wangekulawiti ingekuchukua muda gani kwenda polisi?

Wengine wanabakwa wanapitia depression na hata wanaamua kujiua...

Ila we jama ni m5enge sana aisee sijapata kuona.

Hili jamaa lijinga kweli yani mkuu..
Linatetea ushenzi tu.
Wewe unachobisha Nini
Police ndo walifanya uchunguzi, wewe unaleta hisia
Ikigundulika Binti alikuwa anajiuza nae atashtakiwa
 
Ameandika Dkt. Gwajima D katika Mtandao wa X.

Ndugu Wananchi, nimepokea 'Tags' nyingi za maoni na maswali kuhusu taarifa iliyotolewa na RPC mkoa wa Dodoma juu ya mwenendo wa shauri la 'Binti wa Yombo' (reja taarifa za awali).

Ndugu Wananchi, nimepokea hisia zenu, maoni na maswali yenu ambayo mmeelekeza kwangu. Nimewasiliana na Mhe Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye tayari naye amepokea na anafanyia kazi hivyo, tumpe nafasi atatoa taarifa yake.

Ndugu Wananchi, ni dhahiri kuwa, alichofanyiwa 'Binti wa Yombo' ni kitu kibaya kisicho cha utu hivyo, anastahili haki yake kwa mapana yote.

Ndugu Wananchi, Nawasihi tujipe muda na kuamini kuwa, haki itatendeka kwa mujibu wa sheria na itaonekana bayana na siyo vinginevyo.

Pia soma: Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza

View attachment 3073878
Kwanza amuombe mwenyekiti wa CCM Taifa amvue uanachama RPC ili iwe rahisi kumkamata, vinginevyo nalo litapita kama yale mengine.
 
Back
Top Bottom