Waziri Gwajima: Alichofanyiwa binti wa Yombo ni kitendo kibaya kisicho na utu, nimewasiliana na Waziri wa Mambo ya Ndani ili haki itendeke

Waziri Gwajima: Alichofanyiwa binti wa Yombo ni kitendo kibaya kisicho na utu, nimewasiliana na Waziri wa Mambo ya Ndani ili haki itendeke

Ulishaona mtoto wa Wazirri au DC au hata DAS ambaye ni Mwalimu?
Basi mtoto wa Jaji anejua haki za watoto vizuri ukakuta mwanaye ni Nurse?

Endelea na mawazo ya kimaskini hivyo hivyo.
Hiyo cream tayari imeshajipata, kwani hujui mwenye nacho huzidishiwa? Zungumzia ile cream ambayo bado inajitafuta kisha uje na facts hapa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
na tayari wameshakula kichwa cha mama RPC huko Dodoma, kahamishiwa makao makuu akasome magazeti ndiomaana wakati mwingine siwaamini hawa kina maza kwenye position za maamuzi hasa maamuzi magumu. Pia nina wasiwasi na elimu za hawa maafande wetu.
 
Juzi nilikuwa home na mabinti zangu wawili nikawa namuulize yule mkubwa ukiwa mkubwa unataka kufanya kazi gani ? Kale kadogo kakaitikia chap me nataka kuwa polichi aseee nilikasirika sana hii kazi hata bure bora nikaokote makopo sio kufanya kazi ya laana ya polisi tz .
Akiwa polisi siyo mwanao tena.

Kingai akimpa amri akuuwe, anakuuwa fasta. Maswali baadaye.
 
Acha hisia police wanafanya uchunguzi wewe unawapinga bila utafiti wowote
Peleka ushahidi kama alibakwa.
Hivi mtu abakwe na wanaume 4 akae kimya Toka mwezi wa 4
Haya alitibiwa wapi hayo majeraha ya kubakwa? Bila pf3
Mungu akupe uelewa kidogo tuu
 
Kweli fedha Zina nguvu! Hii kauli ya aliyebakwa anajiuza aliitoa wapi?
 

Attachments

  • VID-20240819-WA0030.mp4
    10.7 MB
Acha hisia police wanafanya uchunguzi wewe unawapinga bila utafiti wowote
Peleka ushahidi kama alibakwa.
Hivi mtu abakwe na wanaume 4 akae kimya Toka mwezi wa 4
Haya alitibiwa wapi hayo majeraha ya kubakwa? Bila pf3
Ndugu yangu haya mambo huja kuwarudia watu.
Karma is a bitch!
Achana kabisa na kutetea maovu yaliyo dhahiri.
Ipo siku utatamani uje ufute kauli zako.
 
Amrfanywaje ?
Police wamethibitisha kuwa alikuwa anajiuza
Wewe unawazidi wenye taaluma Yao
Kupigwa mande na masela ndo hiyo
Hiyo inaitwa rough sex ni kama ka ubabe kiaina
Siku akifanyiwa family member wako au bint yako ndio utajua umuhimu wa haki uko wapi
 
Back
Top Bottom