Wewe unahukumu Kwa hisiaWewe ni mjinga.
Huyo RPC Dodoma katumbuliwa yako wapi sasa?
Mungu aunusuru uzao wangu na hiyo kazi ya kijambazi.Juzi nilikuwa home na mabinti zangu wawili nikawa namuulize yule mkubwa ukiwa mkubwa unataka kufanya kazi gani ? Kale kadogo kakaitikia chap me nataka kuwa polichi aseee nilikasirika sana hii kazi hata bure bora nikaokote makopo sio kufanya kazi ya laana ya polisi tz .
Yakikukuta au yakitokea kwenye familia yako yenye kufanana na alichofanyiwa huyo Binti...Huyo hajabakwa amefanya Kwa hiari yake
Police wamethibitisha kuwa alikuwa anajiuza
Mungu aunusuru uzao wangu na hiyo kazi ya kijambazi.
Acha hisia police wanafanya uchunguzi wewe unawapinga bila utafiti wowoteYakikukuta au yakitokea kwenye familia yako yenye kufanana na alichofanyiwa huyo Binti...
Utaelewa ni hiari au kujiuza
Nimekuambia na ninakuambia tena..Acha hisia police wanafanya uchunguzi wewe unawapinga bila utafiti wowote
Peleka ushahidi kama alibakwa.
Hivi mtu abakwe na wanaume 4 akae kimya Toka mwezi wa 4
Haya alitibiwa wapi hayo majeraha ya kubakwa? Bila pf3
Acha hisia police wanafanya uchunguzi wewe unawapinga bila utafiti wowote
Peleka ushahidi kama alibakwa.
Hivi mtu abakwe na wanaume 4 akae kimya Toka mwezi wa 4
Haya alitibiwa wapi hayo majeraha ya kubakwa? Bila pf3
Kulawiti na kusambaza video mtandaoni nalo siyo kosa!? Tumia akili.Acha hisia police wanafanya uchunguzi wewe unawapinga bila utafiti wowote
Peleka ushahidi kama alibakwa.
Hivi mtu abakwe na wanaume 4 akae kimya Toka mwezi wa 4
Haya alitibiwa wapi hayo majeraha ya kubakwa? Bila pf3
Soma Tena niliyemquote.Nani kasema kubaka wanaojiuza siyo kosa?
Wewe wangekulawiti ingekuchukua muda gani kwenda polisi?Acha hisia police wanafanya uchunguzi wewe unawapinga bila utafiti wowote
Peleka ushahidi kama alibakwa.
Hivi mtu abakwe na wanaume 4 akae kimya Toka mwezi wa 4
Haya alitibiwa wapi hayo majeraha ya kubakwa? Bila pf3
Tunachosema hapa ni alibakwa au hakubakwaKulawiti na kusambaza video mtandaoni nalo siyo kosa!? Tumia akili.
Hili jamaa lijinga kweli yani mkuu..Uchunguzi wa hivi
- Alikuwa kama anajiuza
_ walikuwa kama walevi
_ walikuwa kama wavuta bangi.
Ndio taairifa ya Uchunguzi hiyo?
πππ
Wewe wangekulawiti ingekuchukua muda gani kwenda polisi?
Wengine wanabakwa wanapitia depression na hata wanaamua kujiua...
Ila we jama ni m5enge sana aisee sijapata kuona.
Wewe unachobisha NiniHili jamaa lijinga kweli yani mkuu..
Linatetea ushenzi tu.
Kwanza amuombe mwenyekiti wa CCM Taifa amvue uanachama RPC ili iwe rahisi kumkamata, vinginevyo nalo litapita kama yale mengine.
Ameandika Dkt. Gwajima D katika Mtandao wa X.
Ndugu Wananchi, nimepokea 'Tags' nyingi za maoni na maswali kuhusu taarifa iliyotolewa na RPC mkoa wa Dodoma juu ya mwenendo wa shauri la 'Binti wa Yombo' (reja taarifa za awali).
Ndugu Wananchi, nimepokea hisia zenu, maoni na maswali yenu ambayo mmeelekeza kwangu. Nimewasiliana na Mhe Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye tayari naye amepokea na anafanyia kazi hivyo, tumpe nafasi atatoa taarifa yake.
Ndugu Wananchi, ni dhahiri kuwa, alichofanyiwa 'Binti wa Yombo' ni kitu kibaya kisicho cha utu hivyo, anastahili haki yake kwa mapana yote.
Ndugu Wananchi, Nawasihi tujipe muda na kuamini kuwa, haki itatendeka kwa mujibu wa sheria na itaonekana bayana na siyo vinginevyo.
Pia soma: Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza
View attachment 3073878
Polisi wameshatoa tamko lao .....yule RPC amerudishwa HQ....na sio msimamo wa jeshi PolisiTumuamini nani sasa hapa.. Maana kila mtendaji Anakuja na lwakeView attachment 3073881
Nilichogundua Wew jamaa ni kum*Huyo hajabakwa amefanya Kwa hiari yake
Police wamethibitisha kuwa alikuwa anajiuza
Wakunyonya njoo unyonye ndongaNilichogundua Wew jamaa ni kum*