Waziri Gwajima: Alichofanyiwa binti wa Yombo ni kitendo kibaya kisicho na utu, nimewasiliana na Waziri wa Mambo ya Ndani ili haki itendeke

Alifirwa hakufirwa? Video zimesambazwa hazikusambazwa? Kama hakubaka kwanini alilazimishwa kumuomba msamaha afande!? Tumia akili na si makalio
Hata kufanya uchafu huo Kwa kuridhia ni kosa
Tusubiri mamlaka za kiuchunguzi zije na majibu yanayoeleweka tusihukumu Kwa hisia
Hawa mabinti nao sio wa kuaminika sana.
Binafsi nasubiria police watupe uthibitisho me Sina uhakika na lolote
 
Wewe unachobisha Nini
Police ndo walifanya uchunguzi, wewe unaleta hisia
Ikigundulika Binti alikuwa anajiuza nae atashtakiwa
Polisi gani? Hawa wanaoteka watu na kubambika kesi?

We hujui hata unalosema yule binti amefanyiwa unyama.
 
Pesa zote hazina laana maana zinapitia kwa wauza madawa ya kulevya, wauza bangi, mapunga, wasagaji, wazinzi, waasherati, mafisadi, majambazi, wezi, wauaji, wabakaji, walawiti, wauza gongo, malaya, watekaji, wafanya biashara za Watu, wauza viungo vya Binadamu, matapeli, Manabii wa uwongo, wala rushwa, wabadhilifu, waongo, wanafki, wasengenyaji, wasaliti, wakabaji, waganga wa kienyeji/wachawi/wanga/washirikina/walozi/mapepo/majini/mizimu, wabinafsi, wachoyo, mahanithi, misukule, majangili, mamafia, mataahira na ni tamu balaa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Tumuamini nani sasa hapa.. Maana kila mtendaji Anakuja na lwakeView attachment 3073881
"Alikuwa kama anajiuza" kiufupi hiyo ripoti imeandikwa mezani tu bila watu kwenda field kufanya uchunguzi! Ripoti inatolewa utadhan mtu anatoa maoni yake yeye kama yeye! Stupid! Hili jeshi la police ndiyo maana wanatukanwa kila siku. Akili hamna kabisa, kazi kupokea maagizo tu!
 
Polisi gani? Hawa wanaoteka watu na kubambika kesi?

We hujui hata unalosema yule binti amefanyiwa unyama.
Mkuu nimekwambia hii Dunia ina mengi
Tusihukumu Kwa hisia
Tusubiri mamlaka za kiuchunguzi zije na majibu
Me Kwa kudhani naona jambo la kubakwa hapana, alifikaje hapo geto? Huyo msichana wa vile agombee Nini na afande wa cheo kikubwa? Muonekano na wenyewe unaacha shaka.
Kuna sehemu kwenye video alitoa ushirikiano.
Ndo maana nasema tusimalize maneno tungoje uchunguzi na mahakama zitupe majibu
 
Kuna haja ya kuwa mpole br na kusubiri ka ulivyoambiwa. Ukiwa na subra Kuna jibu litakuja kupitia mahakama. Mark my words
 
kwanini hili suala limeambatana na viongozi kusema tuwe na "utamilivu na utulivu" kwanini?
 
Walimwengu kwani tunafeli wapi? Kila mtu kwenye komenti anataka wale vijana na asemwae afande washughulikiwe Leo Leo Kwa namna anavyofikiri ni sawa . Jamani Kuna taratibu za kisheria na kiuchunguzi nyingi sana zinaendelea huko. Tuendelee kusubiri.
 
We ni mjinga nilishasema.

Achana na huyo binti, ilkuwaje Sugu akajikuta Dar es salaam?
 
We ni mjinga nilishasema.

Achana na huyo binti, ilkuwaje Sugu akajikuta Dar es salaam?
Kuwa subira
Mbona unakuwa mtu wahisia
Hawa wanawake huwajui wewe.
Me sitetei upande wowote nitaheshimu taarifa za uchunguzi tu
Police hawana sababu ya kuficha wabakaji na waliomtuma, hao ni watu wadogo sana seeikalini
Kuna jambo mnaweza kuambiwa msiamini,
Tuwe na subra
 
Sawa Afande
 
1. Waziri wa afya , Ummy out
2. Waziri wa ardhi , mabula out
3. Waziri wa maliasili na utalii , kairuki , out
4. RPC Dodoma, Mally out
Hawa wote ni jinsia Moja Kwa muda mfupi, ! Tunajifunza nini
 
Hao Jamaa wanaowachagulia Watoto zao kazi wananichekesha sana, hata hivyo Mungu ndiye mtoa riziki na mwenye dhamana ya future ya kila Binadamu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work work.
Ulishaona mtoto wa Wazirri au DC au hata DAS ambaye ni Mwalimu?
Basi mtoto wa Jaji anejua haki za watoto vizuri ukakuta mwanaye ni Nurse?

Endelea na mawazo ya kimaskini hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…