mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hivi ile kesi iliishiaje au ndio ilifunikwa kombe na Mwanaharamu akapita.Safi sana Mama Gwajima,Kuzima makali ya kesi Geshi linamuita binti malaya kutupumbaza kisaikolojia.Kwa utamaduni wa watu wachache wenye akili fupi kuitwa malaya tayari ni kuwalinda wabakaji mmoja wapo ni mwanajeshi wa Jeshi la wananchi na picha yake ipo wazi hata humu JF.Kwanini Afande atajwe.Tufafanuliwe vizuri kuhusu afande aliyetajwa.ALAFU WAVUTA BANGI TUSIVUNJIWE HESHIMA KWANI NI WASTAARABU KUSHINDA WACHACHE KWENYE GESHI LA WAUAJI WA KUDUNGA SINDANO ZA SUMU KULE MTWARA.
Kwa hiyo usipofuatilia ndio haki inapotea hivyo? Hii siyo sawa kama kuna taasisi wanapokea mshahara kupindisha sheria. Na rais na wengine wapo. Tuseme hapana kwenye hili
Ameandika Dkt. Gwajima D katika Mtandao wa X.
Ndugu Wananchi, nimepokea 'Tags' nyingi za maoni na maswali kuhusu taarifa iliyotolewa na RPC mkoa wa Dodoma juu ya mwenendo wa shauri la 'Binti wa Yombo' (reja taarifa za awali).
Ndugu Wananchi, nimepokea hisia zenu, maoni na maswali yenu ambayo mmeelekeza kwangu. Nimewasiliana na Mhe Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye tayari naye amepokea na anafanyia kazi hivyo, tumpe nafasi atatoa taarifa yake.
Ndugu Wananchi, ni dhahiri kuwa, alichofanyiwa 'Binti wa Yombo' ni kitu kibaya kisicho cha utu hivyo, anastahili haki yake kwa mapana yote.
Ndugu Wananchi, Nawasihi tujipe muda na kuamini kuwa, haki itatendeka kwa mujibu wa sheria na itaonekana bayana na siyo vinginevyo.
Pia soma: Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza
View attachment 3073878
Swali zuriKama wanaficha na jambo hilo la wazi tujiulize ni mambo mangapi yanafichwa tusiyoyajua?
Uke uwaziri wa Marekani na Ulaya sio bla bla za makofia na kangaHuyu Mama Ni Waziri Kweli Kweli,
Kwahiyo hata video ile haikupi uhakika wowote!? Kwamba hujaona kuwa binti alifanyiwa kitendo kichafu bila ridhaa yake!? Upande uliochagua ni mgumu sana na huwezi kuutetea, pole sana.Hata kufanya uchafu huo Kwa kuridhia ni kosa
Tusubiri mamlaka za kiuchunguzi zije na majibu yanayoeleweka tusihukumu Kwa hisia
Hawa mabinti nao sio wa kuaminika sana.
Binafsi nasubiria police watupe uthibitisho me Sina uhakika na lolote
Nimekwambia subiri mahakamaKwahiyo hata video ile haikupi uhakika wowote!? Kwamba hujaona kuwa binti alifanyiwa kitendo kichafu bila ridhaa yake!? Upande uliochagua ni mgumu sana na huwezi kuutetea, pole sana.
Kwa hiyo wewe kuhusu kubakwa athari yake umetafsiri kuwa ni majeraha tu?Acha hisia police wanafanya uchunguzi wewe unawapinga bila utafiti wowote
Peleka ushahidi kama alibakwa.
Hivi mtu abakwe na wanaume 4 akae kimya Toka mwezi wa 4
Haya alitibiwa wapi hayo majeraha ya kubakwa? Bila pf3
Hongera sana mkuu kwa ulichokifanya. Tunatakiwa tuwe na watu 100 wengine kama wewe.Mdogo wangu nilimnyima pesa ya kuprint vyeti wakati anataka kuomba kazi na sikumpa ushirikiano kabisa.
Sikumwambia kwanini nilimzungusha mpaka dead line ikaisha.
Nikakausha.
ok sawa mkuu nimekuelewa vyema 💯💯Kuna haja ya kuwa mpole br na kusubiri ka ulivyoambiwa. Ukiwa na subra Kuna jibu litakuja kupitia mahakama. Mark my words