Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

Waziri Gwajima kaliamsha dude!
 
Huyu mama anashambulia watu pasipo hoja, anakuja kuongea vitu ili kumfedhehesha mtu pasipo kuona anatakiwa kukabili Jambo gani lililosemwa na mch gwajima
 
Reactions: mmh
Ili mpambano unoge hakuna hata mmoja wa kuwaita polisi tuache watu wapambane kwa vijembe
CCM wanamgwaya Gwajiboy hadi wanamwachia Waziri ajibizane wakati hii si kazi yake.

CCM mnafeli wapi? Hamna majibu ya huyu bwana kabisa.
 
Straight and to the point.Ahsante waziri wa afya kuonyesha leadership.
 
Vita imeiva,tunasubiri mashambulizi kutoka kanisani sasa
Shemeji kathibitisha kwamba Askofu alikula kondoo na kusingizia kwamba ule mkono ulikuwa wa baunsa kumbe ni wa Baba Askofu.

Kwa kifupi shemeji kauthibitishia umma wa Watanzania kwamba Askofu hula kondoo wake katika kutimiza maandiko kwamba makuhani hula madhabahuni!

Vita tamu hii, siyo Dr na Askofu tu bali ni mtu na shemeji yake hivyo wanafahamiana kwa kuwa hukaa pamoja kwenye vikao vya ukoo!! Siri sasa nje nje! Hadi baba/baba mkwe aingilie kati!
 
Nireteeeeni Gwajmaaaaaa!
Nireteeeeni Gwajmaaaaaa!
Nireteeeeni Gwajmaaaaaa!
Nireteeeeni Gwajmaaaaaa!

Ndio huyo sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unataka kusema waziri mmoja katika baraza la mawaziri la serikali ya JMT alirushiwa video ya dude au aliingia mtandaoni kucheki midude? Sikuamini, unadanganya.
Ilirushwa kwenye Gwajifamily WhatsApp group, huwa wanaburudishana kwa matukio moto moto yahusuyo family members.
 
Ngoja tuje tusikie mara sijui alifumaniwa, mara sijui nini, jpili wanaweza kufichua siri zake nyingi toka yuko sekondari, who know?
Huyo ndiyo Gwajiboy aliyemvua nguo Slaa na kumuanika uchi hadharani, alimchambua Bashite enzi hizo Bashite akiwa untouchable.

Tegemea orodha ya kuanzia aliyemtoa Gwajigirl bikra akiwa darasa la tano mpaka michepuko yake ya sasa, Gwajiboy never loose katika drama za aina hii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana upako flani amazing.

J2 haiko mbali, kaeni mkao wa kula.
 
Kusimamia sheria na utawala bora, hauhitaji kutumia maneno mengi hivyo tena yasiyojengwa kwa misingi ya kisheria bali yamekaa kimipasho tu. Yeye mwenyewe alitakiwa awe amejiuzuru kama siyo kuwa ndani.

Hivi hawa watu huwa wanatolewa wapi? Imefikia wakati Wizara muhimu kama ya Afya tunapewa viongozi wa ajabu ajabu, kweli?
 
Hili beef naliona litaingia hadi kwenye familia hizi mbili, Watoto kwanza ndiyo wataanza kuchukiana! Nawashauri wote wawili walimalize mapema kabla Moto haujafika mbali!!
Kipindi Rashid Gwajima anabwatuka pale Ubungo hakujua kama wizara ya afya ipo chini ya shemeji yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…