Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

Hakuna kitu hapo Mkuu. Huwa anatisha watu wengine, wanafamilia wana siri nzito! Watamuumbua hadi ashangae! Hivi unadhani hawa maaskofu hawa wana upako au wana nguvu za giza? Giza litaonyeshwa hadi aombe pooo
 
Hii kali
 
Gwajima akutana na Gwajima! Ahehee
 
Tupate tangazo kutoka kwa wadhamini....

Your browser is not able to display this video.
 
Reactions: Qwy
Sasa huyu waziri mambo ya chanjo anayajibuje kwa hoja za chifupa na mrembo??



Kutafuta justification ya chanjo eti kwa sababu Rais amechanja nadhani siyo sababu yenye mashiko.
Hata Rais hana utaalamu wa maswala ya afya,hajasomea hayo..
Yeye Dorothy kama MD atoe hoja za msingi za kitabibu na siyo mambo ya kufufua akina Chifupa.,yaani majibu ya chanjo anakuja changanya na ya ufufuo wa Chifupa au video ya Gwajima kuvuja!vinahusiana vipi?

Hii nchi hovyo kabisa.
 


Hichi ni kipimo kizuri kujijua uko wapi maana Watanzania wengine hawajitambui. Kujipima tu kama wewe uko kwenye lile kundi la kumwamini Gwajima kwenye chanjo na kufufua watu ujue wewe uko kwenye kikundi cha wanaoitwa wajingajinga. Kama wewe umechanja wazazi wako na familia yako au una mpango wa kufanya hivyo ujue uko upande mwingine. Na hili jambo lipo hata USA kuna watu wamelazwa eti ndiyo sasa wanashutuka wamakimbilia kuchanjwa nao ni wale wajingajinga. Kama unamwamini huyo mchungaji fake jitathimini
 

gwajiboy afungwe mdomo wake kwa kujibiwa hoja zake
 
Huyu mama anashambulia watu pasipo hoja, anakuja kuongea vitu ili kumfedhehesha mtu pasipo kuona anatakiwa kukabili Jambo gani lililosemwa na mch gwajima

Askofu Rashidi aliseema wamehongwa na wamechanjwa chanjo feki, ulitaka wamjibuje?
 
awamu hii Rashidi kakutana na kichaa mwenzie asitegemee ushindi kirahisi
 
Reactions: Qwy
Hakuna kitu hapo Mkuu. Huwa anatisha watu wengine, wanafamilia wana siri nzito! Watamuumbua hadi ashangae! Hivi unadhani hawa maaskofu hawa wana upako au wana nguvu za giza? Giza litaonyeshwa hadi aombe pooo
Anapangilia data vizuri muda huu, hizo hizo nguvu za giza(kama kweli anazo) plus mbinu zake za kupekua mafaili ndiyo itakuwa fimbo ya kumtandika nayo shemeji yake. Unakumbuka Slaa alivyopakwa mimavi mpaka thamani yake ikatoweka fasta, unakumbuka uvumbuzi wa original name la Bashite kwamba Makonda ni jina la kuazima.
Hii itanoga wote wakiparurana na kuvuana nguo mpaka mmoja asalimu amri ila Gwajiboy huwa hakubali kushindwa, mtu alikula muumini wake live huku akijirekodi na clip ikavuja lakini hiyo deadly scandal akaipangua. The motherfvcker is unbeatable, japo huwa simkubali hata kidogo lakini huo ndiyo ukweli.
 
Ngoja nikae siti ya nyuma nisubiri kusikia mtu Kama atafutwa kwenye medani ya siasa
 
Nileteeni Gwajimaaa, nileteeni Gwajimaaaa, nileteeni Gwajimaaaaaaa

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Tukutane jumapili dadeki....
 
Reactions: Qwy
Nimeifurahia hii ya Gwajima vs Gwajima !

"Gwajima ni ndugu yangu, ni shemeji yangu kabisa, lakini mimi ni waziri nimekula kiapo cha kutumikia nchi yangu sio kumtumikia shemeji yangu. Mimi ndiye msemaji wa masuala ya afya nchini, nimechoka kuvuruguwa. Naagiza akamatwe popote alipo ahojiwe juu ya haya madai yake na hatua zichukuliwe"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…