Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

Tujikumbushe alivyosema Magufuli.
"Tumepeleka sample ya vitu vingi kwa Mkemia Mkuu atuambie kama kuna Corona. Corona virus wamegundulika in the most unlikely places. Nimefikiria sana kuhusu jambo hili. There is one of two possibilities. Either wataalamu wetu ufahamu wao ni mdogo,au,vile vyombo vinavyotumika kutesti corona,vina Corona. Kwa sababu vile vyombo vyote vinakuja kutoka nje."

Kuonyesha kwamba amefikiria,na amefikia uamuzi kuhusu nani ana makosa,akasema,"Natoa mwaliko kwa nchi zote duniani,fanyeni testi kwenye maembe,machungwa,kila kitu,kama nilivyofanya mimi. Mtakuta kwamba vina Corona."

Kumbuka matatizo ya chanjo AIDS imeletwa hapa miaka ya sabini katika chanjo ya smallpox. Who brought it.WHO brought it.
Walianzia Haiti kupeleka AIDS.

Halafu wakaileta Tanzania. Nani waliopeleka AIDS Haiti. Our wonderful innocent friends,World Vision.

Kuhusu wale watu anaowafufua Askofu Gwajima,wale ni watu ambao wanazinduka wenyewe mortuary,watu waliopelekwa mortuary kimakosa.
 
Ah mkuu hii muvi mimi nataka nione mwisho
Ila naona Dkt. Gwaji ni sterring maana hata mama anamkubali
 
Umeongea kwa mipasho kama kawaida yako huku "ukidemka" ukimshambulia shemeji yako kwa mambo yasiyohusiana na chanjo.

Mambo ya yeye kulala na muumini wake we yanakuhusu nini au yanahusiana nini na chanjo?

Mambo ya kumfufua Amina Chifupa yanahusianaje na chanjo?

Nimekusikia ukidai umeapa kwa AMIRI JESHI MKUU wa majeshi ya ulinzi na usalama. Huo ni uongo wewe ni RAIA kwa hiyo uliapishwa na RAIS wa JMT na sio Amiri Jeshi Mkuu.

Kwa muktadha huo ukajipa Mamlaka ya kuwaagiza IGP na Mkuu wa TAKUKURU Nchini kuchukua hatua bila kujua huna Mamlaka hayo, ona sasa kwa kuwa wanajua mipaka yao wamekudai uwape barua ndio watekeleze "maagizo yako batili" tena wametamka hadharani, hii ni fedheha kubwa sana kwako.

Nikukumbushe tu WANAOAPA KIAPO CHA UTII KWA AMIRI JESHI MKUU NI MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA NA SIO RAIA

Haufai kuwa kiongozi na kufanya personal attack kwa kutumia cheo chako.

Bi Mkubwa akiziba pengo la Waziri wa Ulinzi hatakuacha anza kujiandaa.
 
Huyu Dr Gwajina sijui kwa nini Rais haoni mapungufu makubwa aliyo nayo na kumuondoa uwaziri !! Anyway na mama mwenyewe sijui kama hata anaunga'muzi huo mh ! Pengine naye anachekelea mipasho hiyo ! Very sad in deed !
Maza muoga wa kufanya maamuzi ya haraka.

Alimfanyia Chalamila tu na wala hata hakuwa na kosa kubwa kiviiile
 
Kama wewe siyo tapeli gwajima basi ni kibaraka wake. Mama ameamua kuweka kila kitu hadharani akitahadharisha kuwa ushemeji usitumike kuhujumiana. Yaani hadi hapo hujaipata!
 
Bado kabisa huelewi mambo, hapo uliposema Dr. Gwajima ni raia, na aliapa kwa raia, pia unaonekana umepaniki.

Unaposema TAKUKURU wanataka wapewe barua hadharani unamaanisha nini? hiyo siku ya kupewa barua ziwepo camera za Tv kuonesha tukio live?!
We unaakili kuliko huyu[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
 
Bado kabisa huelewi mambo, hapo uliposema Dr. Gwajima ni raia, na aliapa kwa raia, pia unaonekana umepaniki.

Unaposema TAKUKURU wanataka wapewe barua hadharani unamaanisha nini? hiyo siku ya kupewa barua ziwepo camera za Tv kuonesha tukio live?!
Sirro mwenyewe kasema anahitaji barua maana yake hajapewa barua rasmi hayo makamera ni yanini tena ili kuthibittisha.
 
Hahaha....nilifurahi tu kusikia kumbe wakubwa nao huwa wanapata 'koneksheni'

Maza kauona hadi mkono wa baunsa ingawa kauita wa bonge....πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ, ina maana ile miuno pia alikuwa anaihesabu inavyocheza takeu 😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…