Corona imewashika pabaya viongozi wa kisiasa! Tangu lini elimu ya afya ikatolewa na wakuu wa mikoa na wilaya?Waziri wa afya Dkt. Gwajima amesema wagonjwa wa Corona wanaongezeka hivyo wananchi wachukue tahadhari.
Kwa sasa elimu ya kupambana na Corona inatolewa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sababu kirusi kinabadilika badilika na sisi tunabadili style ya kukikabili kwani Wizara ina mambo mengi sana ya kufanya.
Chanzo: ITV habari!
Hakuna namna. Kama kirusi kinabadilika lazima na nyie mbadilike kimbinu. Waingereza washashtukia mchezo.Tunaishi nao tu, Corona siyo big deal...
Kesho utasikia kirusi kinaota kwenye nyusi... kwa hiyo tunyoe kope na nyusi zote...Hakuna namna. Kama kirusi kinabadilika lazima na nyie mbadilike kimbinu. Waingereza washashtukia mchezo.
Yeah. Mtachagua kukiondoa kirusi kwa kunyoa kope na nyusi zenu, au kirusi kiwaondoshe na manyusi yenu πππ.Kesho utasikia kirusi kinaota kwenye nyusi... kwa hiyo tunyoe kope na nyusi zote...
Sio na wataalamu wa afya,ama hao wote ni wataalamu wa afya,je hawa wasasa mvuke hautoshi kuwaangamiza,mbona kama hautoshi patachimbika,au kutokuwa na hofu na kutotoa taarifa zitakazosababisha taharuki kutatuokoa mara hii,mawazo wajumbe.Waziri wa afya Dkt. Gwajima amesema wagonjwa wa Corona wanaongezeka hivyo wananchi wachukue tahadhari.
Kwa sasa elimu ya kupambana na Corona inatolewa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sababu kirusi kinabadilika badilika na sisi tunabadili style ya kukikabili kwani Wizara ina mambo mengi sana ya kufanya.
Chanzo: ITV habari!