Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Hiyo Wizara Jiwe aliionea sana. Ni kama vile aliamua kuidhalilisha kabisa. Aliwafanya Waziri na naibu wake kuonekana watu fyatu kabisa. Kutetea na kuonyesha ujinga wa kiwango cha juu. Imagine Naibu anapewa kazi baada ya kutoa porojo ya ki- abunuwasi kuhusu mpango wa kumuua Lissu!
Heri Mh SSH amewabakiza wamepata fursa ya kuthibitisha kuwa wao ni binadamu normal na wamesoma. Sasa watakosolewa kwa utendaji (competence) tu sio kwa sanity.
Heri Mh SSH amewabakiza wamepata fursa ya kuthibitisha kuwa wao ni binadamu normal na wamesoma. Sasa watakosolewa kwa utendaji (competence) tu sio kwa sanity.