Waziri Gwajima - Huo ndio uanaume!

Waziri Gwajima - Huo ndio uanaume!

Jaman naomba kumbukizi ya baadhi tu wa mawaziri wa Afya mnaowafahamu tukiwacha wale wa AWAMU ya Tano na Awamu hii

Naomba kwa unyenyekevu sana kuna jambo nataka kuliangalia

Natanguliza shukran
 
Jaman naomba kumbukizi ya baadhi tu wa mawaziri wa Afya mnaowafahamu tukiwacha wale wa AWAMU ya Tano na Awamu hii

Naomba kwa unyenyekevu sana kuna jambo nataka kuliangalia

Natanguliza shukran
Dr Aron Chiduo!
 
Madam Gwajima hoyoooooo

Kazi na dawaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

View attachment 1898721
Mama D, mbona mi sijaelewa πŸ€”
Mwanzo nilidhani anazungumzia kile kilele cha wanawake na wanaume, then akakanusha na kusema siyo hicho; alikuwa anazungumzia kilele gani sasa? πŸ˜…πŸ˜…
 
Madam Gwajima hoyoooooo

Kazi na dawaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

View attachment 1898721
Mliokaribu na Dr Gwajima, Waziri, mwambieni aache bla bla, serikali inakinadi watoto na wamama wajawazito huduma ni Bure, mahospital kaibu yote nchini, huduma hiyo sio Bure, aache mipasho na kulumbana, atenge muda kulifuatilia hili, anapotea kwenye ulingo wa siasa very soon
 
Back
Top Bottom