#COVID19 Waziri Gwajima: IGP Sirro yupo sahihi, wanaonichonganisha nitawavua nguo hadharani. Asema Corona imesababisha vifo vya kutosha

#COVID19 Waziri Gwajima: IGP Sirro yupo sahihi, wanaonichonganisha nitawavua nguo hadharani. Asema Corona imesababisha vifo vya kutosha

Viongozi vigeugeu hawatufai, Huyu Waziri wa afya Dkt Dorothy Gwajima amegeuka kichekesho, Baada ya IGP Siro kusema hawezi mkamata mtu bila barua na Serikali inafanya kazi kwa maandishi, Dkt Gwajima Waziri wa afya amekanusha kauli yake kuwa Yeye alisema Mchungaji Gwajima ahojiwe na sio kukamatwa

Hawa viongozi wanasoma upepo walisema chanjo hazifai zimetengenezwa haraka, Leo chanjo zinafaa

Hivi lengo la viongozi wa namna hii ni kulipeleka wapi Taifa?

Dakika moja wanakuwa vigeugeu

Naambatanisha video yake ya kukanushaView attachment 1898596
Weka na aliyosema akamatwe

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume tumkumbuke mumewe kwenye maombi yetu ya kila siku. Anapitia mengi sana mwamba.
 
Back
Top Bottom