#COVID19 Waziri Gwajima: Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro kumeathirika zaidi na Corona

#COVID19 Waziri Gwajima: Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro kumeathirika zaidi na Corona

Sasa hivi mmeacha mitishamba hao ndugu wameacha kupotea?

waganga wa kienyeji walikuwa wanatembea kifua mbele.
We matako kwani tanzania na ulaya wapi walikufa zaidi wakati wa magufuli !? Nyinyi ndiyo wale mkiulizwa kilo moja ya pamba na kilo moja ya chuma ipi nzito mnajibu " ya chuma" wazungu walivaa barakoa na madaktari bado walikufa kuliko sisi ,sasa ukiulizwa tufate njia ya mzungu lakini tufe kama wao au tusifuate tusife wewe ungechagua nini?kwa upuuzi uko nao najua ungechagua kufa kama wazungu

sibishanagi na wake za watu! hata siku moja. ndo kabila letu lilivyotuonya.

walee ata mafua yanawaua kwaiyoo kuwa mpolee.
 
Tunataka takwimu wamerehemika wangapi kwa uviko wamepona wangapi na mahospitalini wamelazwa wangapi na kila mkoa utoe takwimu zake
 
Kwa mujibu wa Dkt. Gwajima, huku kumeathirika zaidi:

“Maeneo ya kanda ya ziwa pamoja na Kilimanjaro yameathirika kwa kiasi kikubwa na ugonjwa huo, na ilihitajika mitungi ya ziada kutokana na eneo la kanda ya ziwa kuathirika zaidi na ugonjwa huo,” alisema Gwajima."

Mwenye masikio na asikie:

“Nataka hapo wananchi watuelewe, tuvae barakoa, tunawe mikono na maji tiririka pia tujiepushe na misongamano isiyo ya lazima. Katika wakati huu hakuna ulazima wa mtu kwenda katika miziki au kupanda katika gari lililojaza watu,” amesisitiza Dk Gwajima."

--------
My take:

Tahadhari zaidi maeneo hayo ikiwamo kupunguza safari zinazoweza kuepukika, kutoka au kwenda maeneo hayo ni jambo la busara zaidi.
Mheshima mataka alikuwa sahihi, haya mambo ya kukaa kwenye viyoyoz ndo madhara yake haya Sasa.. jamn hv huko kuathirika kukoje?? Wazr angetusaidia kuzoom in vzr..

Najua tu ni ule mwendelezo wa kutiana hofuu.... Around naona Kama Kuna lockdown hv... Anyway nawaza tu kwa kuandka...[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Daladala.
Mwendokasi.
Pantoni.
Viwanja vya mipira.
Masokoni.

Yani mtu ni mpinzani wa serikali anataka COVID itambulike vizuri lakini.
Hataki level seat ktk daladala,Hataki kupunguza mikusanyiko ktk Masoko.

In short wengi hao wanaleta maslahi binafsi.Nani kakwambia hizi tahadhari zikiwekwa zitamuacha mtu salama?
Hata hao watumishi wategemee kuyumba kwa mishahara yao na per diem,Semina ya posho nayo yote itapukutika labda sekta ya afya tu.
Hapo ndo utarudi na kusema kweli njia ya JPM ilikua ni busara kubwaa kwa nchi za Kimaskini.
ongezea fiesta
 
Huku kanda ya ziwa mbona tuko vizuri tu! Tunashangaa na sisi huo ugonjwa mmeuona wapi? Mtu siyo wa huku halafu anazungumzia habari za uongo2 tu kuwatia watu hofu. Unaumwa wewe usituletee uchuro hatuna huo ugonjwa ebo!
Kaangalie clip ya Rc makala ndo utajua aina ya viongz tulio nao.. watu wanachungulia 570$..
 
Kwa mujibu wa Dkt. Gwajima, huku kumeathirika zaidi:

“Maeneo ya kanda ya ziwa pamoja na Kilimanjaro yameathirika kwa kiasi kikubwa na ugonjwa huo, na ilihitajika mitungi ya ziada kutokana na eneo la kanda ya ziwa kuathirika zaidi na ugonjwa huo,” alisema Gwajima."

Mwenye masikio na asikie:

“Nataka hapo wananchi watuelewe, tuvae barakoa, tunawe mikono na maji tiririka pia tujiepushe na misongamano isiyo ya lazima. Katika wakati huu hakuna ulazima wa mtu kwenda katika miziki au kupanda katika gari lililojaza watu,” amesisitiza Dk Gwajima."

--------
My take:

Tahadhari zaidi maeneo hayo ikiwamo kupunguza safari zinazoweza kuepukika, kutoka au kwenda maeneo hayo ni jambo la busara zaidi.
Huku Mbona hakuna kitu? Kanda ya ziwa ni wapi? N.a. cc mwz tumo? Masokoni watu wamejazana,mashuleni na vyuoni ndo usiseme,mabarabarani kwe madaradara misongamano iliopo ni balaa.Balakoa hatuvai,tunasikia vitisho tu,uhalisia hatuoni,toweni taarifa kamili.
 
Ukishakuwa muongo, ni ngumu sana watu kukuamini utapiamua kuwa mkweli...

Watu walikuamini wakati huo uliposifia nyungu, zile togwa za Nimr, sijui Bupiji n.k...

Je, sasa hivi watu wataweka imani katika maneno yako kweli mama Dk. Gwajima?
 
Huko Kilimanjaro watu wanapuputika kweli, Bora serikali ilete tu hizo chanjo maana Hali si nzuri na watu hawachukui tahadhari ka kipindi coronavirus ilivoingia
Kama hawajaona umuhimu wa kuchukua tahadhari ndio unafikiri watakuwa na haja ya kwenda kudungwa chanjo?
 
Kuweni makini na wachawi wanaoua watu kwa kisingizio cha korona, unaweza kushangaa kipindi cha kiangazi kipindupindu kikaibuka kumbe walozi wameshafanya yao......
 
Mwongo huyu mbona hatuoni kitu? Huku hata huo umbea hamna tunasikia tu kwenye mitandao, huu ugonjwa wa kuleta mnaukuza sana. Eti walipungikiwa mitungi? Aiseee siasa mbaya.
Watu wamekalia kujazana upepo.
 
Mwongo huyu mbona hatuoni kitu? Huku hata huo umbea hamna tunasikia tu kwenye mitandao, huu ugonjwa wa kuleta mnaukuza sana. Eti walipungikiwa mitungi? Aiseee siasa mbaya.
Niko Mwanza mweiz wa tatu sasa.Hiyo 'taharuki" hata sijaiona na maisha yanendelea kama kawaida tu.
Sijui perpetrators wa haya wanafanya kwa faida ya nani kwakweli
 
Kwa mujibu wa Dkt. Gwajima, huku kumeathirika zaidi:

“Maeneo ya kanda ya ziwa pamoja na Kilimanjaro yameathirika kwa kiasi kikubwa na ugonjwa huo, na ilihitajika mitungi ya ziada kutokana na eneo la kanda ya ziwa kuathirika zaidi na ugonjwa huo,” alisema Gwajima."

Mwenye masikio na asikie:

“Nataka hapo wananchi watuelewe, tuvae barakoa, tunawe mikono na maji tiririka pia tujiepushe na misongamano isiyo ya lazima. Katika wakati huu hakuna ulazima wa mtu kwenda katika miziki au kupanda katika gari lililojaza watu,” amesisitiza Dk Gwajima."

--------
My take:

Tahadhari zaidi maeneo hayo ikiwamo kupunguza safari zinazoweza kuepukika, kutoka au kwenda maeneo hayo ni jambo la busara zaidi.
Huyu mama sura mbaya kaacha kula mapachichi yaliyooza yeye na yule basha wake?
 
Back
Top Bottom