#COVID19 Waziri Gwajima: Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro kumeathirika zaidi na Corona

#COVID19 Waziri Gwajima: Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro kumeathirika zaidi na Corona

Kwenye mikusanyiko hatarishi sunda barakoa inasaidia.

Kwingine social distancing ukiweza barakoa unaweza toa.
Mimi kwenye mikusanyiko ndo siendi kabisa, shida unajilinda mwenyewe majority do not care hapo unazuia Nini Sasa, it's like kupaka upepo rangi
 
Hata ukijilinda mwenyewe kama hamna juhudi za wengine ni kumpoteza mda tu maana watu wanakusanyika daladala zimejaa kuliko kawaida
Unatakiwa ukeep distance hata nyumbani kwako,,daladalani kama huwezi kutembea,basi vaa barakoa
 
Lumumba FC naona mashambulizi yao yamelekezwa kwenye hii proganda ili watu wavute mkwanja. Siamini upepo ulivyogeuka ghafla hivi waunga mkono chanjo na wenye kudai kuwa hali ni mbaya ni wengi hivi hali miezi ya nyuma tulikuwa nyuma ya nyungu, maombi, na kupinga barakoa, mabeberu kutokutupenda, chanjo si salama, na mambo yalienda vizuri tu.
Kwamba Corona haipo ?!

Jiwe aliwapoteza mazima
Ipo ila si kwa kiwango kinachohibiriwa
 
Lumumba FC naona mashambulizi yao yamelekezwa kwenye hii proganda ili watu wavute mkwanja. Siamini upepo ulivyogeuka ghafla hivi waunga mkono chanjo na wenye kudai kuwa hali ni mbaya ni wengi hivi hali miezi ya nyuma tulikuwa nyuma ya nyungu, maombi, na kupinga barakoa, mabeberu kutokutupenda, chanjo si salama, na mambo yalienda vizuri tu.

Ipo ila si kwa kiwango kinachohibiriwa
Nenda taasisi kama BMC uone mpaka sasa imepoteza madaktari bingwa wangapi kwa Covid . Nenda ujiridhishe
 
Huku kanda ya ziwa mbona tuko vizuri tu! Tunashangaa na sisi huo ugonjwa mmeuona wapi? Mtu siyo wa huku halafu anazungumzia habari za uongo2 tu kuwatia watu hofu. Unaumwa wewe usituletee uchuro hatuna huo ugonjwa ebo!
 
Sikia Chaggadema, mimi kwetu ni MARA.

Shinyanga siyo mkoa ulioko kanda ya ziwa.

Kanda ya ziwa ni Kagera, Mara, Mwanza na Geita.

Kwahiyo wewe unameza kila unachokiona humu JF?
Hakika ww ni punguwani kbs aisee hata sasa bado mnaweza danganya watu na wakati google imejaa kila kitu jpge kifua mara 3 ksha jseme kwamba ww ni tahira
Screenshot_20210714-112616.jpg
images.jpg
 
Halafu mnaobwabwaja nyie muwe mnaweka na data. Kama hamna mkamatwe tu maana hamna faida kwa jamii yenu. kazi kutisha watu tu, hamna kazi za kufanya mnawaza ugonjwa tu? Malaria ndiyo inayoongoza kwa kuua watu duniani na Tanzania ikiwemo, mbona hamsemi? kwa taarifa yako hata ukimwi unaua watu kuliko uviko, mbona hamsemi? acheni kuwa wajinga, hizi ni propaganda za wazungu wao wanafaidika nyie mnapata nini kwa kuwatisha ndugu zenu?
 
Mimi kwenye mikusanyiko ndo siendi kabisa, shida unajilinda mwenyewe majority do not care hapo unazuia Nini Sasa, it's like kupaka upepo rangi

Mkuu ninakusoma barabara. Ila pamoja na jitihada za kujitenga "the inevitable happen." Tukijikuta humo ndipo hapo barakoa na tahadhari zaidi ni muhimu.
 
Halafu mnaobwabwaja nyie muwe mnaweka na data. Kama hamna mkamatwe tu maana hamna faida kwa jamii yenu. kazi kutisha watu tu, hamna kazi za kufanya mnawaza ugonjwa tu? Malaria ndiyo inayoongoza kwa kuua watu duniani na Tanzania ikiwemo, mbona hamsemi? kwa taarifa yako hata ukimwi unaua watu kuliko uviko, mbona hamsemi? acheni kuwa wajinga, hizi ni propaganda za wazungu wao wanafaidika nyie mnapata nini kwa kuwatisha ndugu zenu?

You have a few things in common:

IMG_20210714_113929_952.jpg
 
Kauli ya Waziri wenu wa Afya., 'Juzi tarehe 8 kulikuwa na wagonjwa 408. 'Hizo namba 8 zilizojirudia zinajielezea zenyewe nini kinachoendelea.

Hapa napo kuna 8 ipi?

Hiiiiii bagosha!
 
Huku kanda ya ziwa mbona tuko vizuri tu! Tunashangaa na sisi huo ugonjwa mmeuona wapi? Mtu siyo wa huku halafu anazungumzia habari za uongo2 tu kuwatia watu hofu. Unaumwa wewe usituletee uchuro hatuna huo ugonjwa ebo!
Wendawazimu hawa.

Sijui ni kanda ya ziwa gani wanayoizungumzia!

Mimi toka juzi niko Kisesa hapa, sioni cha delta wala nini!

Wamebugia mapesa ya wazungu hawana namna zaidi ya kutengeneza maigizo.

Vya bure gharama!
 
Hivi we malaya unataka mamako afe kwanza ndio ujue. Nina group flani hivi la huko kili ndani ya siku mbili kuna misiba 12 imetokea.
Nyie mashoga kwa matusi hamjambo!

Hivi ile ID yako ya ushoga umeipeleka wapi siku hizi?
 
Wendawazimu hawa.

Sijui ni kanda ya ziwa gani wanayoizungumzia!

Mimi toka juzi niko Kisesa hapa, sioni cha delta wala nini!

Wamebugia mapesa ya wazungu hawana namna zaidi ya kutengeneza maigizo.

Vya bure gharama!

IMG_20210714_085240_006.jpg

IMG_20210714_120055_199.jpg
 
Tulipigaga kelele mambo ya magonjwa siasa isiingizwe kati.. huyu huyu kipindi cha Magu alikuwa mganga wa mitishamba. tukapoteza ndugu zetu..

Afadhali arudi kwenye taaluma yake tupambane na haka kamdudu kitaalamu kama wenzetu wanavyopambana.
Sasa hivi mmeacha mitishamba hao ndugu wameacha kupotea?
 
Back
Top Bottom