datz
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 858
- 972
Jiseme nafsi yako we ni nani uwaseme?Wananchi ni zaidi ya mmoja....
Hapa nilipo tupo 3 tulio tayari kuchomwa hizo CHANJO....ukiacha sisi walalahoi na ninaamini nchi nzima ina hao ndugu zetu manesi na madaktari walio mstari wa mbele kututibu wagonjwa wa UVIKO ,nao wako watakaokubali kuchomwa hizo chanjo ukiacha wewe na wenzako.....
Usiwe mgumu kuelewa