#COVID19 Waziri Gwajima: Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro kumeathirika zaidi na Corona

#COVID19 Waziri Gwajima: Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro kumeathirika zaidi na Corona

Huyu ni mwehu kweli anaongea tu bila kutaja kijiji wala wilaya husika ili tupime kama ayasemayo ni kweli au ndio propaganda zile zile na kupiga kelele huku hali ni tofauti kabisa. Tunatishana tu wenyewe kwa kukuza mambo.
Kwamba Corona haipo ?!

Jiwe aliwapoteza mazima
 
Mwongo huyu mbona hatuoni kitu? Huku hata huo umbea hamna tunasikia tu kwenye mitandao, huu ugonjwa wa kuleta mnaukuza sana. Eti walipungikiwa mitungi? Aiseee siasa mbaya.
Wewe yawezekana hupo sawasawa. Sifahamu huko Kilimanjaro. Lakini huku Knda ya Ziwa, hali siyo nzuri. Wanaoumwa ni wengi sana ukilinganisha na idadi ndogo waliolazwa. Lakini vifo vinavyotokana na corona vipo.

Kuna rafiki yangu amepoteza ndugu zake wawili Sengerema na mmoja Mwanza.
 
Uonco
Yeye aliwaambia kuwa Corona haipo imeletwa na mabeberu na watu wameacha kuchukua tahadhari na sikuhizi hawanawi ila watu wengi wamekufa Sana na ya Sasa ni mbaya kuliko janauri imagine kijijini kwa siku wanaweza zikwa watu hata watano, nadhani wizara ya afya na yenyewe imelala haichukua hatua nzuri ka ummy alivoweza kuhamasisha
N
 
Ushauri huu wa mh. Waziri japo umechelewa mno, unatuhusu sana:

“Nataka hapo wananchi watuelewe, tuvae barakoa, tunawe mikono na maji tiririka pia tujiepushe na misongamano isiyo ya lazima. Katika wakati huu hakuna ulazima wa mtu kwenda katika miziki au kupanda katika gari lililojaza watu,” amesisitiza Dk Gwajima."
Hata ukijilinda mwenyewe kama hamna juhudi za wengine ni kumpoteza mda tu maana watu wanakusanyika daladala zimejaa kuliko kawaida
 
Askari huenda vitani na SILAHA ZA KILA NAMNA....

Sasa ndugu huyu anazikataa CHANJO ,tena hata wasichomwe MANESI NA MADAKTARI WETU walio mstari wa mbele kututibu tukiwa na hali tete ya UVIKO....duuh😲

'Silaha na Tahadhari ya Kutosha.' Vinginevyio watakunyanganya na watakua na silaha uliyo ibeba na uliyo iita ya msaada na kujihami.
 
Hata ukijilinda mwenyewe kama hamna juhudi za wengine ni kumpoteza mda tu maana watu wanakusanyika daladala zimejaa kuliko kawaida

Kwenye mikusanyiko hatarishi sunda barakoa inasaidia.

Kwingine social distancing ukiweza barakoa unaweza toa.
 
Hakusema uongo 'Credible Leader' alikufa akiwa anayasimamia aliyo amini.

Hayo sina hakika unayasoma wapi kwenye niliyoandika popote pale. Hata hivyo tambua kuwa:

Kufa unayoyasimamia hakuna maana hasa kama ni ya kijinga:

IMG_20210713_165939_546.jpg

Anasema mtumishi wa Mungu:

Muda utaongea tu. Kuchanjwa utakubali mwenyewe tu. Mtu anajiona mzima leo wakati hajui kesho yake.
 
Kwa mujibu wa Dkt. Gwajima, huku kumeathirika zaidi:

“Maeneo ya kanda ya ziwa pamoja na Kilimanjaro yameathirika kwa kiasi kikubwa na ugonjwa huo, na ilihitajika mitungi ya ziada kutokana na eneo la kanda ya ziwa kuathirika zaidi na ugonjwa huo,” alisema Gwajima."

Mwenye masikio na asikie:

“Nataka hapo wananchi watuelewe, tuvae barakoa, tunawe mikono na maji tiririka pia tujiepushe na misongamano isiyo ya lazima. Katika wakati huu hakuna ulazima wa mtu kwenda katika miziki au kupanda katika gari lililojaza watu,” amesisitiza Dk Gwajima."

--------
My take:

Tahadhari zaidi maeneo hayo ikiwamo kupunguza safari zinazoweza kuepukika, kutoka au kwenda maeneo hayo ni jambo la busara zaidi.
Wamesubiri mpaka watu wanapukutika ndiyo wanaleta tahadhari.
 
Mwongo huyu mbona hatuoni kitu? Huku hata huo umbea hamna tunasikia tu kwenye mitandao, huu ugonjwa wa kuleta mnaukuza sana. Eti walipungikiwa mitungi? Aiseee siasa mbaya.
Nenda bugando ukajionee
 
Hayo sina hakika unayasoma wapi kwenye niliyoandika popote pale. Hata hivyo tambua kuwa:

Kufa unayoyasimamia hakuna maana hasa kama ni ya kijinga:

View attachment 1852586

Anasema mtumishi wa Mungu:

Kauli ya Waziri wenu wa Afya., 'Juzi tarehe 8 kulikuwa na wagonjwa 408. 'Hizo namba 8 zilizojirudia zinajielezea zenyewe nini kinachoendelea.
 
Yeye aliwaambia kuwa Corona haipo imeletwa na mabeberu na watu wameacha kuchukua tahadhari na sikuhizi hawanawi ila watu wengi wamekufa Sana na ya Sasa ni mbaya kuliko janauri imagine kijijini kwa siku wanaweza zikwa watu hata watano, nadhani wizara ya afya na yenyewe imelala haichukua hatua nzuri ka ummy alivoweza kuhamasisha
Muogope Mungu, punguza uwongo, hata hivyo wewe ni mtu mzima sasa
 
Wamekufa sana wapi? Wangapi? Weka takwimu.

Halafu ni lini watu hawakuwahi kufa sana?

Uliwapima hao marehemu ukawakuta na corona?
Hivi we malaya unataka mamako afe kwanza ndio ujue. Nina group flani hivi la huko kili ndani ya siku mbili kuna misiba 12 imetokea.
 
Salama na Kumtukuza Mungu wa Mbinguni kwa uhai wangu anaoendelea kunikirimia na nimepiga chai na mihogo ya kulima mnyewe.
Nasikitika kukwambia mkuu uko brainwashed vibaya sana,,sijui kama kuna jinsi ya kukusaidia
 
Back
Top Bottom