#COVID19 Waziri Gwajima: Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro kumeathirika zaidi na Corona

#COVID19 Waziri Gwajima: Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro kumeathirika zaidi na Corona

Usalama wa afya ya mtu huanza na mwenyewe....unamuita mnafiki mtu anayejipapatua kujilinda mwenyewe ?!! Khaaa 😲
Tuliwajua hawa wote wakiongoza na JPM kipindi kile. Na ndio hoja ya unafiki inapojengewa hapo.
 
Kama wananchi tuna dhima ya kumsikiliza mh.Waziri wa afya!

Kama wananchi tuna dhima ya kujilinda na kulindana!

Ninaisubiria kwa hamu kubwa chanjo ya CORONA huku nikiendelea kuchukua tahadhari!
 
Kuna mlokole mwingine wajina akijinadi kufufua wafu.

Ajabu yalipotukuta akatutelekeza na sasa tumehamia kwenye kuchonga sanamu.

Kwanini wewe si yule?

Angalia sababu ziko wazi kwenye Biblia kwa nini kufufuliwa? Na wako walokole manabii wa uongo pia. Na Vyote hivyo Bwana Yesu ambaye ni Neno aliviweka wazi. Usinilitee kufufuliwa kwa mtu kujitafutia utukufu binafsi na kufanya matangazo ya biashara yake ya injili ya shetani hapa. Ongelea Ufufuo wa kumtukuza Mungu wa Mbinguni hilo tu.
 
Kijijini kwetu Hali si nzuri kabisa I'm so sacred kwa kweli na wengine wanatolewa Dar kwenda kuzikwa na mbaya hata Ile second stage ya corona mpuputiko ulikuwa mkubwa mno.
Wilaya gani hiyo?
 
Huko Kilimanjaro watu wanapuputika kweli, Bora serikali ilete tu hizo chanjo maana Hali si nzuri na watu hawachukui tahadhari ka kipindi coronavirus ilivoingia
Kabisaaaah yaan.
 
Hao watu wanaodondoka sana ni wangapi?

Kwa ugonjwa gani? Lini? Wapi? Saa ngapi? Umejuaje?

We ni mchawi au nabii?
Wachawi hao wakiongozwa na mama yao SSH.
Watu wanapukutika sana wapi huko wanatamani yatoke lakini ndo hivo Mungu yupo pamoja nasi.
 
Kijijini kwetu Hali si nzuri kabisa I'm so sacred kwa kweli na wengine wanatolewa Dar kwenda kuzikwa na mbaya hata Ile second stage ya corona mpuputiko ulikuwa mkubwa mno.

Ushauri huu wa mh. Waziri japo umechelewa mno, unatuhusu sana:

“Nataka hapo wananchi watuelewe, tuvae barakoa, tunawe mikono na maji tiririka pia tujiepushe na misongamano isiyo ya lazima. Katika wakati huu hakuna ulazima wa mtu kwenda katika miziki au kupanda katika gari lililojaza watu,” amesisitiza Dk Gwajima."
 
Wananchi tuhimimizane umuhimu wa kuchomwa CHANJO dhidi ya CORONA....

Serikali yetu adhimu iharakishe kuzileta hizo CHANJO ,wananchi tunazisubiri kwa HAMU KUBWA MNO!!!!
 
Wananchi tuhimimizane umuhimu wa kuchomwa CHANJO dhidi ya CORONA....

Serikali yetu adhimu iharakishe kuzileta hizo CHANJO ,wananchi tunazisubiri kwa HAMU KUBWA MNO!!!!
Wananchi wangapi wanasubiri kwanini unajumuisha watu wote jiseme nafsi yako ikija katenge takle mwenyewe usitujumuishe wote
 
Angalia sababu ziko wazi kwenye Biblia kwa nini kufufuliwa? Na wako walokole manabii wa ungongo pia. Na Vyote hivyo Bwana Yesu ambaye ni Neno aliviweka wazi. Usinilitee kufufuliwa kwa mtu kujitafutia utukufu binafsi na kufanya matangazo ya biashara yake injili ya shetani hapa. Ongelea Ufufuo wa kumtukuza Mungu wa Mbinguni hilo tu.

Kwanini usipendekeze hospitali zote kufungwa ili ukawaponye wote huko wewe usiyekuwa nabii wa uongo?
 
Anatafuta kiki huyo ambiwe na yeye ni dalali wa chanjo.
Achana nae mwehu huyo.
😲Khaaa Unamtolea maneno makali member mwenzako simply tu kwa kueleza anachofahamu?!!!

Ulitaka utueleze wewe unachokijua ili tukuite mwerevu si ndio ee?
 
Wananchi wangapi wanasubiri kwanini unajumuisha watu wote jiseme nafsi yako ikija katenge takle mwenyewe usitujumuishe wote
Wananchi ni zaidi ya mmoja....

Hapa nilipo tupo 3 tulio tayari kuchomwa hizo CHANJO....ukiacha sisi walalahoi na ninaamini nchi nzima ina hao ndugu zetu manesi na madaktari walio mstari wa mbele kututibu wagonjwa wa UVIKO ,nao wako watakaokubali kuchomwa hizo chanjo ukiacha wewe na wenzako.....
 
Kwanini usipendekeze hospitali zote kufungwa ili ukawaponye wote huko wewe usiyekuwa nabii wa uongo?

Hukuelewa hapo nilipo kuambia ziko sababu za kutukuzwa Mungu. Hata hospitali nayo yaweza kuwa sehemu ya kumtukuza Mungu wa Mbinguni au shetwani. Wanapo sababisha miili yetu kutoka kuwa The Temple òf the Holy Ghost na kuigeuza kuwa magnetic fields kwa kupitia chanjo covid ambayo ni ya mkakati wa Bill Gates na nduguze jua ni shetwani anaye tukuzwa hapo.
 
Anatafuta kiki huyo ambiwe na yeye ni dalali wa chanjo.
Achana nae mwehu huyo.
Huyu ni mwehu kweli anaongea tu bila kutaja kijiji wala wilaya husika ili tupime kama ayasemayo ni kweli au ndio propaganda zile zile na kupiga kelele huku hali ni tofauti kabisa. Tunatishana tu wenyewe kwa kukuza mambo.
 
Hukuelewa hapo nilipo kuambia ziko sababu za kutukuzwa Mungu. Hata hospitali nayo yaweza kuwa sehemu ya kumtukuza Mungu wa Mbinguni au shetwani. Wanapo sababisha miili yetu kutoka kuwa The Temple òf the Holy Ghost na kuigeuza kuwa magnetic fields kwa kupitia chanjo covid ambayo ni ya mkakati wa Bill Gates na nduguze jua ni shetwani anaye tukuzwa hapo.
😲😲🤣🤣Kwa hiyo kuna maandiko matakatifu yanayokueleza kuwa CHANJO ya CORONA ni mkakati wa SIRI wa huyo uliyemtaja na si CONSPIRACY THEORIES zako tu ?!!!
 
Hukuelewa hapo nilipo kuambia ziko sababu za kutukuzwa Mungu. Hata hospitali nayo yaweza kuwa sehemu ya kumtukuza Mungu wa Mbinguni au shetwani. Wanapo sababisha miili yetu kutoka kuwa The Temple òf the Holy Ghost na kuigeuza kuwa magnetic fields kwa kupitia chanjo covid ambayo ni ya mkakati wa Bill Gates na nduguze jua ni shetwani anaye tukuzwa hapo.

Hata tahadhari ya ugonjwa huu zikiwamo chanjo na michango ya akina bill gates vyaweza kuwa njia ya kumtukuza Mungu pia.
 
Back
Top Bottom