Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Hawa jamaa wako njema sana kwa proganda, hali ni tofauti kabisa na mitandaoni na matamko yanayotoka.
Na kama hali ingekuwa mbaya kweli sidhani kama ziara za mikoani na press conference zingekuwa zinafanyika wakati huu.
Viongozi wa ajabu sana unasaidia unao waongoza kujua jinsi ya kuogopa kifo. Kifo kinatisha, tena kina ogofya. Bwana Yesu akiwa ameuvaa uanadamu alitudhihirishia hilo. Ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke akatiririkwa na jasho kama damu" Halafu wako watu kucha kutwa wanatumia nguvu nyingi kuwafundisha wanao waongoza kuogopa kifo. Kinacholengwa ni hizo 400M usd na misaada mingine basi.