#COVID19 Waziri Gwajima: Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro kumeathirika zaidi na Corona

#COVID19 Waziri Gwajima: Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro kumeathirika zaidi na Corona

Wananchi ni zaidi ya mmoja....

Hapa nilipo tupo 3 tulio tayari kuchomwa hizo CHANJO....ukiacha sisi walalahoi na ninaamini nchi nzima ina hao ndugu zetu manesi na madaktari walio mstari wa mbele kututibu wagonjwa wa UVIKO ,nao wako watakaokubali kuchomwa hizo chanjo ukiacha wewe na wenzako.....
Jiseme nafsi yako we ni nani uwaseme?
Usiwe mgumu kuelewa
 
😲😲🤣🤣Kwa hiyo kuna maandiko matakatifu yanayokueleza kuwa CHANJO ya CORONA ni mkakati wa SIRI wa huyo uliyemtaja na si CONSPIRACY THEORIES zako tu ?!!!

Soma Ufunuo wa Yohana ujue kuelekea kiama mambo yatakayo jitokeza. Utapigwa chapa ya mpinga Kristo. Nazungumzia Imani yangu ya Bwana Yesu Kristo wa Nazarethi hapa. Na ieleweke hivyo.
 
Kwa mujibu wa Dkt. Gwajima, huku kumeathirika zaidi:

“Maeneo ya kanda ya ziwa pamoja na Kilimanjaro yameathirika kwa kiasi kikubwa na ugonjwa huo, na ilihitajika mitungi ya ziada kutokana na eneo la kanda ya ziwa kuathirika zaidi na ugonjwa huo,” alisema Gwajima."

Mwenye masikio na asikie:

“Nataka hapo wananchi watuelewe, tuvae barakoa, tunawe mikono na maji tiririka pia tujiepushe na misongamano isiyo ya lazima. Katika wakati huu hakuna ulazima wa mtu kwenda katika miziki au kupanda katika gari lililojaza watu,” amesisitiza Dk Gwajima."

--------
My take:

Tahadhari zaidi maeneo hayo ikiwamo kupunguza safari zinazoweza kuepukika, kutoka au kwenda maeneo hayo ni jambo la busara zaidi.
Kwahio RC wa Shinyanga na yule wa Iringa waliomkamata kiongozi wa Chadema watakua wameudanganya umma wa Watanzania sio?
 
😲😲🤣🤣Kwa hiyo kuna maandiko matakatifu yanayokueleza kuwa CHANJO ya CORONA ni mkakati wa SIRI wa huyo uliyemtaja na si CONSPIRACY THEORIES zako tu ?!!!

Hawa ni wale waliompa aliyekwenda nishani ya kukimbiza Corona kumbe ilikuwa kupita kwa wimbi moja tu.
 
Hata tahadhari ya ugonjwa huu zikiwamo chanjo na michango ya akina bill gates vyaweza kuwa njia ya kumtukuza Mungu pia.

Freemasonary nao humtukuza mungu wao. Sikushangai wala siwashangai mawakala wapinga Kristo . Neno la Mungu ni Hakika na Kweli yote na Unabii wake lazima utimie. Ni bahati mbaya sana kwa yule ambaye atatumiwa na mpinga Kristo kutimiza agenda yake.
 
😲😲🤣🤣Kwa hiyo kuna maandiko matakatifu yanayokueleza kuwa CHANJO ya CORONA ni mkakati wa SIRI wa huyo uliyemtaja na si CONSPIRACY THEORIES zako tu ?!!!
Mkuu samahani wewe kuelewa na kuyafafanua mambo kwa undani kidogo ni ngumu?
Jitahidi kidogo kushughulisha ubongo.
 
Soma Ufunuo wa Yohana ujue kuelekea kiama mambo yatakayo jitokeza. Utapigwa chapa ya mpinga Kristo. Nazungumzia Imani yangu ya Bwana Yesu Kristo wa Nazarethi hapa. Na ieleweke hivyo.
Sikuzuii kuzungumzia imani yako...kwako wewe uko sahihi....

Kwa hiyo huo ufunuo wa YOHANA uliitaja hii CHANJO YA CORONA?!!

Na pia huo ufunuo wa YOHANA ulizitaja CHANJO wanazopewa watoto wetu dhidi ya KIFADURO ,DONDA KOO ,KIFUA KIKUU ,HOMA YA INI n.k?!!!
 
Kwahio RC wa Shinyanga na yule wa Iringa waliomkamata kiongozi wa Chadema watakua wameudanganya umma wa Watanzania sio?

Acha hawa wajinga Mungu wa Mbinguni awakoroge ndimi zipishane. Refer ya mmnara wa babeli ya Nimrodi, mfalme juha.
 
Freemasonary na humtukuza mungu wao. Sikushangai wala siwashangai mawskala wapinga Kristo . Neno la Mungu ni Hakika na Kweli yote na Unabii wake lazima utimie. Ni bahati mbaya sana kwa yule ambaye atatumiwa na mpinga Kristo kutimiza agenda yake.
Mkuu umeamka salama kweli ?!! 🤣🤣
 
Freemasonary na humtukuza mungu wao. Sikushangai wala siwashangai mawskala wapinga Kristo . Neno la Mungu ni Hakika na Kweli yote na Unabii wake lazima utimie. Ni bahati mbaya sana kwa yule ambaye atatumiwa na mpinga Kristo kutimiza agenda yake.

Unayaokota wapi hayo ya Freemasonry?

Kwanini wewe ndiyo unajiona kumtukuza Mungu kwa kutumia hospitali inapobidi, lakini si wengine wanaosukuma matumizi ya hospitali na wataalamu wa afya kupambana na Corona?

Hujishangai mjomba?
 
Huyu ni mwehu kweli anaongea tu bila kutaja kijiji wala wilaya husika ili tupime kama ayasemayo ni kweli au ndio propaganda zile zile na kupiga kelele huku hali ni tofauti kabisa. Tunatishana tu wenyewe kwa kukuza mambo.
Waumini wa mambe kimambi hao wanaokoteza ya mitandaoni wakati sisi huku mitaani hatuoni chochote.
 
Unayaokota wapi hayo ya Freemasonry?

Kwanini wewe ndiyo unajiona kumtukuza Mungu kwa kutumia hospitali inapobidi, lakini si wengine wanaosukuma matumizi ya hospitali na wataalamu wa afya kupambana na Corona?

Hujishangai mjomba?

The issue hapa ni covid na yatokanayo hii covid hilo tu
 
Unayaokota wapi hayo ya Freemasonry?

Kwanini wewe ndiyo unajiona kumtukuza Mungu kwa kutumia hospitali inapobidi, lakini si wengine wanaosukuma matumizi ya hospitali na wataalamu wa afya kupambana na Corona?

Hujishangai mjomba?
Askari huenda vitani na SILAHA ZA KILA NAMNA....

Sasa ndugu huyu anazikataa CHANJO ,tena hata wasichomwe MANESI NA MADAKTARI WETU walio mstari wa mbele kututibu tukiwa na hali tete ya UVIKO....duuh😲
 
Kwa hamu kubwa tunaisubiria CHANJO ya CORONA...

Hapa tuko wananchi 7....
 
Ningemwelewa kama angekuwa field kuhamasisha watu kuchukua tahadhari za kinga dhidi ya korona, ikiwa ni pamoja na kuwashauri wazee wakae ndani zaidi kwa sasa kuliko kushinda akisoma vichwa vya habari vya magazeti na zembwela.....
 
Back
Top Bottom