chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Sasa hivi mmeacha mitishamba hao ndugu wameacha kupotea?
We matako kwani tanzania na ulaya wapi walikufa zaidi wakati wa magufuli !? Nyinyi ndiyo wale mkiulizwa kilo moja ya pamba na kilo moja ya chuma ipi nzito mnajibu " ya chuma" wazungu walivaa barakoa na madaktari bado walikufa kuliko sisi ,sasa ukiulizwa tufate njia ya mzungu lakini tufe kama wao au tusifuate tusife wewe ungechagua nini?kwa upuuzi uko nao najua ungechagua kufa kama wazungu
Mheshima mataka alikuwa sahihi, haya mambo ya kukaa kwenye viyoyoz ndo madhara yake haya Sasa.. jamn hv huko kuathirika kukoje?? Wazr angetusaidia kuzoom in vzr..Kwa mujibu wa Dkt. Gwajima, huku kumeathirika zaidi:
“Maeneo ya kanda ya ziwa pamoja na Kilimanjaro yameathirika kwa kiasi kikubwa na ugonjwa huo, na ilihitajika mitungi ya ziada kutokana na eneo la kanda ya ziwa kuathirika zaidi na ugonjwa huo,” alisema Gwajima."
Mwenye masikio na asikie:
“Nataka hapo wananchi watuelewe, tuvae barakoa, tunawe mikono na maji tiririka pia tujiepushe na misongamano isiyo ya lazima. Katika wakati huu hakuna ulazima wa mtu kwenda katika miziki au kupanda katika gari lililojaza watu,” amesisitiza Dk Gwajima."
--------
My take:
Tahadhari zaidi maeneo hayo ikiwamo kupunguza safari zinazoweza kuepukika, kutoka au kwenda maeneo hayo ni jambo la busara zaidi.
ongezea fiestaDaladala.
Mwendokasi.
Pantoni.
Viwanja vya mipira.
Masokoni.
Yani mtu ni mpinzani wa serikali anataka COVID itambulike vizuri lakini.
Hataki level seat ktk daladala,Hataki kupunguza mikusanyiko ktk Masoko.
In short wengi hao wanaleta maslahi binafsi.Nani kakwambia hizi tahadhari zikiwekwa zitamuacha mtu salama?
Hata hao watumishi wategemee kuyumba kwa mishahara yao na per diem,Semina ya posho nayo yote itapukutika labda sekta ya afya tu.
Hapo ndo utarudi na kusema kweli njia ya JPM ilikua ni busara kubwaa kwa nchi za Kimaskini.
Ndo mana nimemwambia hana akili jamaa aliwabrainwash vibaya mnoPro-Magu huyo.
Kwaza waanze wakubwa baada ya 5yrs tukiona matokeo na kizaz Chao ndo tunaunga sasaWananchi tuhimimizane umuhimu wa kuchomwa CHANJO dhidi ya CORONA....
Serikali yetu adhimu iharakishe kuzileta hizo CHANJO ,wananchi tunazisubiri kwa HAMU KUBWA MNO!!!!
Kaangalie clip ya Rc makala ndo utajua aina ya viongz tulio nao.. watu wanachungulia 570$..Huku kanda ya ziwa mbona tuko vizuri tu! Tunashangaa na sisi huo ugonjwa mmeuona wapi? Mtu siyo wa huku halafu anazungumzia habari za uongo2 tu kuwatia watu hofu. Unaumwa wewe usituletee uchuro hatuna huo ugonjwa ebo!
Fanya masihala na yote mkuu usifanye masihara MUNGU..Vipi; maombi yameshindwa? Mungu kapumuzika?
Mama angu mzazi amefariki kwa gonjwa hili huwa nawashangaa wanao puuza ni hatari zaidi ya hatari anae puuza hajaguswaReally?
Seems huu ugonjwa haujakugusa kwa njia yoyote. Until then endelea kupuuza.
Huku Mbona hakuna kitu? Kanda ya ziwa ni wapi? N.a. cc mwz tumo? Masokoni watu wamejazana,mashuleni na vyuoni ndo usiseme,mabarabarani kwe madaradara misongamano iliopo ni balaa.Balakoa hatuvai,tunasikia vitisho tu,uhalisia hatuoni,toweni taarifa kamili.Kwa mujibu wa Dkt. Gwajima, huku kumeathirika zaidi:
“Maeneo ya kanda ya ziwa pamoja na Kilimanjaro yameathirika kwa kiasi kikubwa na ugonjwa huo, na ilihitajika mitungi ya ziada kutokana na eneo la kanda ya ziwa kuathirika zaidi na ugonjwa huo,” alisema Gwajima."
Mwenye masikio na asikie:
“Nataka hapo wananchi watuelewe, tuvae barakoa, tunawe mikono na maji tiririka pia tujiepushe na misongamano isiyo ya lazima. Katika wakati huu hakuna ulazima wa mtu kwenda katika miziki au kupanda katika gari lililojaza watu,” amesisitiza Dk Gwajima."
--------
My take:
Tahadhari zaidi maeneo hayo ikiwamo kupunguza safari zinazoweza kuepukika, kutoka au kwenda maeneo hayo ni jambo la busara zaidi.
Kama hawajaona umuhimu wa kuchukua tahadhari ndio unafikiri watakuwa na haja ya kwenda kudungwa chanjo?Huko Kilimanjaro watu wanapuputika kweli, Bora serikali ilete tu hizo chanjo maana Hali si nzuri na watu hawachukui tahadhari ka kipindi coronavirus ilivoingia
Wewe ushahidi wa vipimo unao?Kwa nini unakataa unaushahidi?
Watu wamekalia kujazana upepo.Mwongo huyu mbona hatuoni kitu? Huku hata huo umbea hamna tunasikia tu kwenye mitandao, huu ugonjwa wa kuleta mnaukuza sana. Eti walipungikiwa mitungi? Aiseee siasa mbaya.
Niko Mwanza mweiz wa tatu sasa.Hiyo 'taharuki" hata sijaiona na maisha yanendelea kama kawaida tu.Mwongo huyu mbona hatuoni kitu? Huku hata huo umbea hamna tunasikia tu kwenye mitandao, huu ugonjwa wa kuleta mnaukuza sana. Eti walipungikiwa mitungi? Aiseee siasa mbaya.
Tuendako itabidi no way outKama hawajaona umuhimu wa kuchukua tahadhari ndio unafikiri watakuwa na haja ya kwenda kudungwa chanjo?
Tuendako wapi mama, 'no way out' unamaanisha nini, hata mwendazake aliwahi kusema 'never' kwa hiyo haya maneno yanabaki kuwa misemo tu....Tuendako itabidi no way out
Huyu mama sura mbaya kaacha kula mapachichi yaliyooza yeye na yule basha wake?Kwa mujibu wa Dkt. Gwajima, huku kumeathirika zaidi: