Ufanisi wa chanjo unategemea na aina (variant) ya kirusi kilicholengwa. Chanjo za Pfizer na Moderna ndizo chanjo za kwanza kutengenezwa, wakati huo kilikuwa kirusi cha kutoka Wuhan ambacho ni aina ya alpha. Chanjo ya J&J imetengenezwa hivi karibuni wakati variants wengine wa kirusi hiki walikuwa wametanda. Kilitengenezwa kwa ajili ya variants waliopatikana Brazil na South Afrika ambako variant za kirusi hiki ndiyo walioko Tanzania wakiwemo hao wa lambda na delta. Pfizer na Moderna hawafui dafu kwa J&J kwa variants hawa wa kwetu. Sinovac ya China yenyewe ni broad spectrum kwani inalenga protein zote za kirusi hiki. Wao wanatumia kirusi chote kizima kutengeneza hiyo chanjo yao. Hizo chanjo zingine zote zinalenga spike protein moja tu inayopatikana kwenye gamba la nje la kirusi hicho. Hivyo Sinovac ina cover variants zote zilizopo na zitakazokuja. Both J&J and Sinovac efficacy zake ni 60 hadi 65%. Pfizer, Moderna na Astra Zenecca kwa variants za sasa kama za delta, efficacy zake hazifiki 50%. Huu ndiyo scientific ukweli. Tuache ubabaishaji. Sasa hivi USA variant ya delta imepamba moto na kufikia 50% ya maambukizi ya sasa. Ndiyo maana wagonjwa wapya wanaongezeka kwa kasi kubwa kila siku despite kwamba zaidi ya 60% ya watu wake walishachanjwa Pfizer au Moderna.
Ikumbukwe kuwa efficacy ya natural immunity (kwa aliyewahi kuugua corona) ni 85% hadi 95%. Vaccination immunity (kwa aliyechanjwa corona) haiwezi kuizidi ile inayopatikana in the natural way. Hivyo 60% efficacy kwa hizi vaccines (tena after only one or two doses) ni kitu kikubwa. Efficacy itazidi kuongezeka jinsi idadi ya booster doses zitakavyokuwa zinaongezeka. Kwa mfano booster doses za tetanus ziko 5 kwa mpangilio wa muda fulani kati ya hizo booster. Hizi za corona bado hazijajulikana kwanj ugonjwa huu ni mpya kabisa. Muda utaongea, tuwe na subira na siku zote mwanzo huwa ni mugumu, Roma haikujengwa siku moja.