Bepari la bariadi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 420
- 671
Hii umeiweka vizuri SanaSometimes in life, it worth to be sceptical when the rest or majority are optimistic, and to be optimistic when the rest or majority are sceptical/pessimistic.
Gwajima anaepinga chanjo anaweza kuja kuwa sahihi siku moja.
Mimi binafsi kwa sasa sijui nisimame upande gani, ila muda ndio utanipa jibu
Simama hapohapo. Ukweli ni kwamba kwa sasa hata aliyechanjwa potentially yupo kwenye risk ileile ya kupata corona sawa na ambaye hajachanjwaSometimes in life, it worth to be sceptical when the rest or majority are optimistic, and to be optimistic when the rest or majority are sceptical/pessimistic.
Gwajima anaepinga chanjo anaweza kuja kuwa sahihi siku moja.
Mimi binafsi kwa sasa sijui nisimame upande gani, ila muda ndio utanipa jibu
Hakuna anayelazimishwa. Hata hao watumishi wa afya hakuna anayewalazimisha wala mwenye mamlaka ya kuwalazimisha. Ukiona watumishi wa afya wanachanjwa ujue wamefikia uamuzi huo baada ya kupima faida na hasara za kupata hizo nchanjo. Ukumbuke kuwa hawa ndiyonwagumu kuwashawishi kwani ni wajuzi, lazima wapate scientific evidence na siyo bla bla tu.
Marekani wanatumia Moderna na Pfizer zaidi. Zinatumia teknologia ya mRNA ambayo yule 'askofu' ameshawaogopeshea watu haopa TZ akidhani ndiyo DNA. Ni vigumu kuleta hizo dawa TZ kwa kuwa ni ghali sana, na kwa kuwa utunzaji wake kwenye baridi ya nyuzi joto -70 ni mgumu kwa miundombinu ya minyororo baridi ya TZ. Hata hivyo Janssen unayoitilia mashaka iko bomba tu kuzuia maambukizi ya kufa au kulazwa. Kama una hiari hiyo, chanja tu na ule ugali wako kwa imani kubwaWakati akitoa hotuba ya uzinduzi wa chanjo ya Covid 19 aina ya Johnson and Johnson. Waziri wa Afya, Dr. Dorothy Gwajima amesema kuwa Serikali ya Marekani imetumia chanjo hiyo kuwachanja raia milioni 8 wa Marekani.
Sasa ukiangalia population ya USA ni watu 332,915,073.
Ambapo hao milioni 8 ni sawa na 2.4% ya raia wa Marekani wote.
Kwa mtazamo wangu hii chanjo hata Wamarekani wenyewe hawaiamini sana na ndio maana idadi ya watu wake waliochanjwa ni ndogo sana.
Ningependa kujua ni chanjo gani ambayo USA wamechanja asilimia kubwa ya raia wake? Je, kwanini wasingetupatia hiyo?
Sisi tukiweza kuchanja hii yote waliyotupa tutakuwa tumechanja zaidi ya asilimia 6 ya watanzania. Lakini kwao wamekomea tu 2.4%. Hapa kuna mambo ya kujiuliza na kujiridhisha.
Marekani wanatumia Moderna na Pfizer zaidi. Zinatumia teknologia ya mRNA ambayo yule 'askofu' ameshawaogopeshea watu haopa TZ akidhani ndiyo DNA. Ni vigumu kuleta hizo dawa TZ kwa kuwa ni ghali sana, na kwa kuwa utunzaji wake kwenye baridi ya nyuzi joto -70 ni mgumu kwa miundombinu ya minyororo baridi ya TZ. Hata hivyo Janssen unayoitilia mashaka iko bomba tu kuzuia maambukizi ya kufa au kulazwa. Kama una hiari hiyo, chanja tu na ule ugali wako kwa imani kubwa
Wakati akitoa hotuba ya uzinduzi wa chanjo ya Covid 19 aina ya Johnson and Johnson. Waziri wa Afya, Dr. Dorothy Gwajima amesema kuwa Serikali ya Marekani imetumia chanjo hiyo kuwachanja raia milioni 8 wa Marekani.
Sasa ukiangalia population ya USA ni watu 332,915,073.
Ambapo hao milioni 8 ni sawa na 2.4% ya raia wa Marekani wote.
Kwa mtazamo wangu hii chanjo hata Wamarekani wenyewe hawaiamini sana na ndio maana idadi ya watu wake waliochanjwa ni ndogo sana.
Ningependa kujua ni chanjo gani ambayo USA wamechanja asilimia kubwa ya raia wake? Je, kwanini wasingetupatia hiyo?
Sisi tukiweza kuchanja hii yote waliyotupa tutakuwa tumechanja zaidi ya asilimia 6 ya watanzania. Lakini kwao wamekomea tu 2.4%. Hapa kuna mambo ya kujiuliza na kujiridhisha.
Ufanisi wa chanjo unategemea na aina (variant) ya kirusi kilicholengwa. Chanjo za Pfizer na Moderna ndizo chanjo za kwanza kutengenezwa, wakati huo kilikuwa kirusi cha kutoka Wuhan ambacho ni aina ya alpha. Chanjo ya J&J imetengenezwa hivi karibuni wakati variants wengine wa kirusi hiki walikuwa wametanda. Kilitengenezwa kwa ajili ya variants waliopatikana Brazil na South Afrika ambako variant za kirusi hiki ndiyo walioko Tanzania wakiwemo hao wa lambda na delta. Pfizer na Moderna hawafui dafu kwa J&J kwa variants hawa wa kwetu. Sinovac ya China yenyewe ni broad spectrum kwani inalenga protein zote za kirusi hiki. Wao wanatumia kirusi chote kizima kutengeneza hiyo chanjo yao. Hizo chanjo zingine zote zinalenga spike protein moja tu inayopatikana kwenye gamba la nje la kirusi hicho. Hivyo Sinovac ina cover variants zote zilizopo na zitakazokuja. Both J&J and Sinovac efficacy zake ni 60 hadi 65%. Pfizer, Moderna na Astra Zenecca kwa variants za sasa kama za delta, efficacy zake hazifiki 50%. Huu ndiyo scientific ukweli. Tuache ubabaishaji. Sasa hivi USA variant ya delta imepamba moto na kufikia 50% ya maambukizi ya sasa. Ndiyo maana wagonjwa wapya wanaongezeka kwa kasi kubwa kila siku despite kwamba zaidi ya 60% ya watu wake walishachanjwa Pfizer au Moderna.Aisee. Basi ndio maana Wamarekani pia hawaiamini
Kauli ya Mbowe tuchanjwe Kwa lazima vp unazungumziaSometimes in life, it worth to be sceptical when the rest or majority are optimistic, and to be optimistic when the rest or majority are sceptical/pessimistic.
Gwajima anaepinga chanjo anaweza kuja kuwa sahihi siku moja.
Mimi binafsi kwa sasa sijui nisimame upande gani, ila muda ndio utanipa jibu
Sio kweli kwamba wahudumu wa afya ni lazima kuchanjwa, ama toa muongozo au tamko la wizara ya afya au who kuthibitisha.Hiari pia inapaswa kuendana na taarifa. Kumbuka kuna watu ambao kuchanjwa ni lazima kama vile wahudumu wa afya n.k.
Ufanisi wa chanjo unategemea na aina (variant) ya kirusi kilicholengwa. Chanjo za Pfizer na Moderna ndizo chanjo za kwanza kutengenezwa, wakati huo kilikuwa kirusi cha kutoka Wuhan ambacho ni aina ya alpha. Chanjo ya J&J imetengenezwa hivi karibuni wakati variants wengine wa kirusi hiki walikuwa wametanda. Kilitengenezwa kwa ajili ya variants waliopatikana Brazil na South Afrika ambako variant za kirusi hiki ndiyo walioko Tanzania wakiwemo hao wa lambda na delta. Pfizer na Moderna hawafui dafu kwa J&J kwa variants hawa wa kwetu. Sinovac ya China yenyewe ni broad spectrum kwani inalenga protein zote za kirusi hiki. Wao wanatumia kirusi chote kizima kutengeneza hiyo chanjo yao. Hizo chanjo zingine zote zinalenga spike protein moja tu inayopatikana kwenye gamba la nje la kirusi hicho. Hivyo Sinovac ina cover variants zote zilizopo na zitakazokuja. Both J&J and Sinovac efficacy zake ni 60 hadi 65%. Pfizer, Moderna na Astra Zenecca kwa variants za sasa kama za delta, efficacy zake hazifiki 50%. Huu ndiyo scientific ukweli. Tuache ubabaishaji. Sasa hivi USA variant ya delta imepamba moto na kufikia 50% ya maambukizi ya sasa. Ndiyo maana wagonjwa wapya wanaongezeka kwa kasi kubwa kila siku despite kwamba zaidi ya 60% ya watu wake walishachanjwa Pfizer au Moderna.
Ikumbukwe kuwa efficacy ya natural immunity (kwa aliyewahi kuugua corona) ni 85% hadi 95%. Vaccination immunity (kwa aliyechanjwa corona) haiwezi kuizidi ile inayopatikana in the natural way. Hivyo 60% efficacy kwa hizi vaccines (tena after only one or two doses) ni kitu kikubwa. Efficacy itazidi kuongezeka jinsi idadi ya booster doses zitakavyokuwa zinaongezeka. Kwa mfano booster doses za tetanus ziko 5 kwa mpangilio wa muda fulani kati ya hizo booster. Hizi za corona bado hazijajulikana kwanj ugonjwa huu ni mpya kabisa. Muda utaongea, tuwe na subira na siku zote mwanzo huwa ni mugumu, Roma haikujengwa siku moja.
Ushauri kwa akina Doubting Tom kama wewe: subiri na kuwafuatilia wale waliodungwa hizo sindano leo hapo ikulu. Itakapotokea hata mmoja wao tu akaganda damu kwenye ubongo wake (Mungu apishe mbali) basi wewe kula nduki na wengi kwa kweli tutakufuata! Ila tatizo la akina Doubting Tom hilo lisipotokea bado watasema hizo chanjo walizopatiwa pale ikulu zilikuwa feki (sterile water for injection) za maigizo.
Uzuri ni hiari
Ushauri kwa akina Doubting Tom kama wewe: subiri na kuwafuatilia wale waliodungwa hizo sindano leo hapo ikulu. Itakapotokea hata mmoja wao tu akaganda damu kwenye ubongo wake (Mungu apishe mbali) basi wewe kula nduki na wengi kwa kweli tutakufuata! Ila tatizo la akina Doubting Tom hilo lisipotokea bado watasema hizo chanjo walizopatiwa pale ikulu zilikuwa feki (sterile water for injection) za maigizo.
za kuambiwa changanya zako mkuuSerikali makini kamwe haiwezi kuingiza kitu kwa ajili ya matumizi ya watu wake na kusema ni hiyari na mbaya zaidi inasema haitawajibika kwa madhara yanayoweza kujitokeza kwa watakaochanjwa.
Ni sawa na Baba alete chakula nyumbani kwa ajiki ya watoto na asema; "Mtoto unayohiari ya kula au laa na kama ukila na kudhurika mimi Baba sina sihusiki".
Kauli hiyo inaingia akilini??🤣
Serikali makini kamwe haiwezi kuingiza kitu kwa ajili ya matumizi ya watu wake na kusema ni hiyari na mbaya zaidi inasema haitawajibika kwa madhara yanayoweza kujitokeza kwa watakaochanjwa.
Ni sawa na Baba alete chakula nyumbani kwa ajiki ya watoto na asema; "Mtoto unayohiari ya kula au laa na kama ukila na kudhurika mimi Baba sina sihusiki".
Kauli hiyo inaingia akilini??🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Serikali makini kamwe haiwezi kuingiza kitu kwa ajili ya matumizi ya watu wake na kusema ni hiyari na mbaya zaidi inasema haitawajibika kwa madhara yanayoweza kujitokeza kwa watakaochanjwa.
Ni sawa na Baba alete chakula nyumbani kwa ajiki ya watoto na asema; "Mtoto unayohiari ya kula au laa na kama ukila na kudhurika mimi Baba sina sihusiki".
Kauli hiyo inaingia akilini??[emoji1787]
Vaccine efficacy ni tofauti na vaccination coverage. Wewe unaongelea vaccination coverage - yaani asilimia ya watu wote marekani waliopata chanjo.Hata mtoto mdogo huwezi mdanganya kwa staili hii. Marekani wamechanja almost 40% ya Raia wake wote. Waziri mwenyewe kasema only 2.4% ya hiyo 40% ndio wametumia hiki mukitacho bora JJ. Tangu lini wa Marekani wameanza kuamua kutumia vilovyo bogus wakuachie wewe kilicho bora zaidi. Jueni kwamba yako maisha baada ya haya tuisho leo. Na hayo ya jayo ni ya milele yote. Kweli siku za mwisho utu utapungua na utawona binadamu wenzako kama kitu cha kawaida tu cha kuchezea uhai wao. Watu million 60 takribani wafanywe nguruwe ginea wa majaribio ya chanjo!!!
wenyewe wameshaachana nayo. kuna chanjo high quality sema gharama. na vile tumepewa bure tumekubalNahisi wametuletea tuwe experimented kwanza kama tutadumu
Vaccine efficacy ni tofauti na vaccination coverage. Wewe unaongelea vaccination coverage - yaani asilimia ya watu wote marekani waliopata chanjo.
Mimi ninaongelea vaccine efficacy - yaani hiyo chanjo uliyopatiwa uwezo wake wa kukukinga na huo ugonjwa (yaani mwili wako kujenga kinga aka immunity dhidi ya gonjwa hilo). Tukisema efficacy ya chanjo ya J&J ni 60% tunamaanisha kati ya watu 100 waliopewa hiyo chanjo ni watu 60 tu ndiyo miili yao itapata kinga (immunity) dhidi ya huo ugonjwa. Hao wengine 40 waliobaki hakuna kitakachotokea - yaani ni sawa na wale ambao hawakichanja, hiyo vaccination certificate yao haina maana ye yote.