johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Amekosea nini hapo?Huyu bibi sijui kama ni mzima
Aiseeee nilijua atajipongeza yeye kwa kujenga barabara na ofisi za jimbo la kawe.Waziri wa afya Dr Gwajima ameupongeza mkoa wa Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito.
Dr Gwajima amesema LEO amefurahi sana.
Waziri wa afya yuko ziarani mkoani Mbeya akikagua shughuli mbalimbali za wizara yake.
Source Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Wewe ukimwangalia ni mzima?Amekosea nini hapo?
Bwashee umechanganya madesa Kawe wahusika ni askofu Gwajima na mbunge wa Chadema mh Halima James Mdee!Aiseeee nilijua atajipongeza yeye kwa kujenga barabara na ofisi za jimbo la kawe.
Haongeki ndiyo maana mnamuona siyo mzima.Huyu bibi sijui kama ni mzima
Huyo ni Dr Dorothy Gwajima (MD, MPH) siyo Askofu Josephat Gwajima.Aiseeee nilijua atajipongeza yeye kwa kujenga barabara na ofisi za jimbo la kawe.
Ni mzima by 100%.Wewe ukimwangalia ni mzima?
Hahahaaaaa Daaah haya majina yanachanganya sana.Bwashee umechanganya madesa Kawe wahusika ni askofu Gwajima na mbunge wa Chadema mh Halima James Mdee!
Noted.Huyo ni Dr Dorothy Gwajima (MD, MPH) siyo Askofu Josephat Gwajima.
Mkoa wa mbeya umenyanyapaliwa na Awmu toka ya Mkapa na ni kwa muda mrefu.Waziri wa afya Dr Gwajima ameupongeza mkoa wa Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito.
Dr Gwajima amesema LEO amefurahi sana.
Waziri wa afya yuko ziarani mkoani Mbeya akikagua shughuli mbalimbali za wizara yake.
Source Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Bi Tukinao on fleekWaziri wa afya Dr Gwajima ameupongeza mkoa wa Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito.
Dr Gwajima amesema LEO amefurahi sana.
Waziri wa afya yuko ziarani mkoani Mbeya akikagua shughuli mbalimbali za wizara yake.
Source Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Nini jengo la kisasa la wajawazito?Waziri wa afya Dr Gwajima ameupongeza mkoa wa Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito.
Dr Gwajima amesema LEO amefurahi sana.
Waziri wa afya yuko ziarani mkoani Mbeya akikagua shughuli mbalimbali za wizara yake.
Source Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Ni ukweli mtupu yaani Mji ukiingia mpaka unasikitika, barabara zingine kama maandaki. Ukija Mbeya utdhani uko enzi za Mwinyi Tz ilivyokuwa. Sijui walikosea wapi. Wananchi wenyewe wanajitahidi bila jicho la kutoka juu,nimetembelea wilaya ya Rungwe kwakweli nimeshangaa kidogo kunamaendeleo nimeona nyumba za kisasa na kuna baadhi huwezi amini kama unaweza kutegemea kukuta vijijini nyumba kama zile kweli shemeji zangu hapo wamejitahidi sana, sikubahatika kufika mpaka kyela na Wilaya zingine bila shaka nako kuko vizuri lakini Jiji la Mbeya bado serikali inapaswa kuwapa nao keki ya Taifa.Mkoa wa mbeya umenyanyapaliwa na Awmu toka ya Mkapa na ni kwa muda mrefu.
Hakuna miradi mikubwa ya maendeleo na barabara za kuingia mjini ni masikitikao.
Pengine Awau hii ijitahidi kuondoa tatizo hilo.
Sijui ni kwanini mkoa umekua isolated sanaMkoa wa mbeya umenyanyapaliwa na Awmu toka ya Mkapa na ni kwa muda mrefu.
Hakuna miradi mikubwa ya maendeleo na barabara za kuingia mjini ni masikitikao.
Pengine Awau hii ijitahidi kuondoa tatizo hilo.
Sioni shida kwake. Labda nikikuangalia na wewe naweza gundua shida ilipoWewe ukimwangalia ni mzima?
Huyo mama nimemwondoa kabisa katika watu wa maana nchi hii. Aheri kumsikiliza Musukuma kuliko huyu mama.Waziri wa afya Dr Gwajima ameupongeza mkoa wa Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito.
Dr Gwajima amesema LEO amefurahi sana.
Waziri wa afya yuko ziarani mkoani Mbeya akikagua shughuli mbalimbali za wizara yake.
Source Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
So whatWaziri wa afya Dr Gwajima ameupongeza mkoa wa Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito.
Dr Gwajima amesema LEO amefurahi sana.
Waziri wa afya yuko ziarani mkoani Mbeya akikagua shughuli mbalimbali za wizara yake.
Source Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Masikini Daktari Dorothy Gwajima, MB, na Waziri wa Afya.Waziri wa afya Dr Gwajima ameupongeza mkoa wa Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito.
Dr Gwajima amesema LEO amefurahi sana.
Waziri wa afya yuko ziarani mkoani Mbeya akikagua shughuli mbalimbali za wizara yake.
Source Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!