Waziri Gwajima, Serikali yetu Inaruhusu Gender Reassignment Surgery?

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
7,021
Reaction score
11,475
Jielekeze kwenye tangazo la gazeti la Mwananchi hapa chini. Kuna Daktari anaitwa Sanjay Pandey toka India anakuja nchini kufanya tiba ya mambo mbalimbali ikiwamo "gender assignment surgery" (kubadilisha jinsia).

Naomba kuuliza ni lini Serikali yetu kupitia Bunge la JMT lilipitisha sera ya kubadili jinsia.

Kama Serikali halijapitisha, basi chukua hatua za haraka kupitia namba za simu kwenye matangazo yao hapo chini.

IMG-20240422-WA0069.jpg
IMG-20240422-WA0070.jpg
 
sijaona mahali hilo tangazo limesema wanaenda Tanzania kwa ajili ya watu kubadili jinsia ila katika specialities za hao madaktari bingwa kuna ambaye anauzoefu na ujuzi pia wa kufanya hizo mbanga, tusivamie tu vitu bila kujua .mbona kuna madaktari pia ni upinde kabisa lakini wako huko kwenye mahospitali wanatibu na hamsemi? tusiwaharibie watu biashara zao.
 
watu walienda Zambia kuuza vidole na serikali haikutoa kauli sembuse mtu kubadilisha jinsia yake tena kwa hiari yake.... kitu chochote ukikifanya kwa hiari yako kwa nchi yetu hilo sio kosa....!

Kwani mashoga hawafanyi kwa hiari yao?

Kama kujiua kwa hiari yako ni kosa sasa kwanini kubadili jinsia yako isiwe kosa?
 
Jielekeze kwenye tangazo la gazeti la Mwananchi hapa chini. Kuna Daktari anaitwa Sanjay Pandey toka India anakuja nchini kufanya tiba ya mambo mbalimbali ikiwamo "gender assignment surgery" (kubadilisha jinsia).

Naomba kuuliza ni lini Serikali yetu kupitia Bunge la JMT lilipitisha sera ya kubadili jinsia.

Kama Serikali halijapitisha, basi chukua hatua za haraka kupitia namba za simu kwenye matangazo yao hapo chini.

View attachment 2971020View attachment 2971040
Je, unafahamu kwamba kuna baadhi ya watu wamezaliwa na 'biological abnormalities' za kuwa na Jinsia Mbili za kike na kiume na wangependa kuondoa jinsia moja ili wabaki na moja tu? Je, unafahamu uwepo wa watu wa namna hiyo hapa Tanzania?
Unataka watu wa namna hiyo waende wapi basi ili waweze kufanya surgery hiyo wanayohitaji???
Usifikiri kwamba watu wote wana fedha za kutosha za kuwawezesha kwenda kutibiwa nje ya nchi hii ya Tanzania.

Aidha, kama wewe umebahatika kuzaliwa bila ya kuwa na any biological abnormalities inayohitaji kurekebishwa kitabibu, basi unapaswa kumshukuru Mungu Sana, wapo baadhi ya wenzetu wamezaliwa na changamoto nzito sana ambazo ni ngumu hata kuzielezea hapa.
Naamini Wahudumu wa afya wananielewa vizuri sana kitu ninachojaribu kuelezea hapa.
 
Ila isiwe kichaka cha kujificha ma gay na ma lesbian
 
Jielekeze kwenye tangazo la gazeti la Mwananchi hapa chini. Kuna Daktari anaitwa Sanjay Pandey toka India anakuja nchini kufanya tiba ya mambo mbalimbali ikiwamo "gender assignment surgery" (kubadilisha jinsia).

Naomba kuuliza ni lini Serikali yetu kupitia Bunge la JMT lilipitisha sera ya kubadili jinsia.

Kama Serikali halijapitisha, basi chukua hatua za haraka kupitia namba za simu kwenye matangazo yao hapo chini.

View attachment 2971020View attachment 2971040
Serikali haiwezi kusema ukweli juu ya hili ila unatakiwa kujuwa tu kwamba kuna wanaume wa Dar wengi sana wanataka kubadilisha jinsia.
 
Back
Top Bottom