Waziri Gwajima, Serikali yetu Inaruhusu Gender Reassignment Surgery?

Waziri Gwajima, Serikali yetu Inaruhusu Gender Reassignment Surgery?

Jielekeze kwenye tangazo la gazeti la Mwananchi hapa chini. Kuna Daktari anaitwa Sanjay Pandey toka India anakuja nchini kufanya tiba ya mambo mbalimbali ikiwamo "gender assignment surgery" (kubadilisha jinsia).

Naomba kuuliza ni lini Serikali yetu kupitia Bunge la JMT lilipitisha sera ya kubadili jinsia.

Kama Serikali halijapitisha, basi chukua hatua za haraka kupitia namba za simu kwenye matangazo yao hapo chini.

View attachment 2971020View attachment 2971040
Mama hana kundi, yeye ni wa wote.
Wala rudhwa, watekaji. Wauaji , wana usalama, wacha Mungu, Wacha Shetani, wasagaji, mashoga hao eote ni wa kwake na wote anawapa nafasi kwa kuwateua serikalini.
 
Je, unafahamu kwamba kuna baadhi ya watu wamezaliwa na 'biological abnormalities' za kuwa na Jinsia Mbili za kike na kiume na wangependa kuondoa jinsia moja ili wabaki na moja tu? Je, unafahamu uwepo wa watu wa namna hiyo hapa Tanzania?
Unataka watu wa namna hiyo waende wapi basi ili waweze kufanya surgery hiyo wanayohitaji???
Usifikiri kwamba watu wote wana fedha za kutosha za kuwawezesha kwenda kutibiwa nje ya nchi hii ya Tanzania.

Aidha, kama wewe umebahatika kuzaliwa bila ya kuwa na any biological abnormalities inayohitaji kurekebishwa kitabibu, basi unapaswa kumshukuru Mungu Sana, wapo baadhi ya wenzetu wamezaliwa na changamoto nzito sana ambazo ni ngumu hata kuzielezea hapa.
Naamini Wahudumu wa afya wananielewa vizuri sana kitu ninachojaribu kuelezea hapa.
Aliye zaliwa jinsia 2, anapoondolewa 1 na kubakiza moja, huyo anakuwa hajabadili.
ELEWA NENO " KUBADILI"
 
sijaona mahali hilo tangazo limesema wanaenda Tanzania kwa ajili ya watu kubadili jinsia ila katika specialities za hao madaktari bingwa kuna ambaye anauzoefu na ujuzi pia wa kufanya hizo mbanga, tusivamie tu vitu bila kujua .mbona kuna madaktari pia ni upinde kabisa lakini wako huko kwenye mahospitali wanatibu na hamsemi? tusiwaharibie watu biashara zao.
nina wasiwasi na koment yako aisee
 
Back
Top Bottom