#COVID19 Waziri Gwajima: Sisi viongozi tulishachanjwa chanjo ya Corona na sasa tunaelimisha wananchi nao Wachanje

Mmechanjwa lini tena mheshimiwa ? Si mlisema mnaizindua kesho ?
Hapa kuna swali,chanjo ipi walipata kimyakimya na huu uzinduzi wa mini
Doro itanichukua muda kumuelewa
 
Tunaishukuru kwa hilo.

Halafu mh.waziri Dr.Gwajima ni DAKTARI kitaaluma....na madaktari wahamasishao CHANJO wameombewa "mabaya" na mh.Josephat Gwajima .....🀣

Haya yanaondelea hasa kwenye hili suala la corona, kipindi cha Magufuli na sasa wanayoongea hawa viongozi, ndio utajua ni kwa kiwango gani ccm inaongozwa na watu wenye mambo ya kitoto. Yaani hata ni kinyaa kuyasikiliza hayo majizi ya kura.
 
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.

Source: ITV habari

Mungu ni mwema wakati wote.


Jamani mbona serikali wamekuwa wazito kutoa mpangilio wa chanjo inaelekea wanasubiri wanasiasa wachanje kwanza na familia zao ndiyo waambie wananchi na huu sio utaratibu mzuri. Wazazi wetu wa miaka 70-80 wako ndani na mpaka leo hatujui waende kuchanja wapi!
 
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.

Source: ITV habari

Mungu ni mwema wakati wote.
Walichanja lini??
 
Mpeleke hiyo Mzee wako wa miaka 70-80 akachanjwe Ili upunguze bajeti.
 
Kwaiyo KESHO kuigiza tu na wamesaini CONSENT FORM?
 
WashachanjwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..

Hivi wanadhani bado Wana ushawishi kwA wananchi ..Mi nisikilize wapuuzi hawa..
Yatawadodea hayo machanjo yao... kama vipi wakapikie chai wanywe na familia zao! Hachanjwi mtu hapa!
 
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.

Source: ITV habari

Mungu ni mwema wakati wote.
Mmmh!!
 
Kama walichanjwa kwa Siri yafaa na Elimu tupewe kwa Siri hvyo hivyo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona unakuwa muongo mchana kweupe, kwa mfano kifo cha raisi wa Haiti , pia Magu hakukataa kuhusu korona haipo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapa hakuna kuchanja na vaccination card tutazipata tu Bongo hakuna kinachoshindikana
 
Yan kwakweli nikimsikiliza gwajima naona yuko sawa japo bado nabaki njia panda kuhusu chanjo jmn hili swala linaitaji elim ya hali ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…