Hapa kuna swali,chanjo ipi walipata kimyakimya na huu uzinduzi wa miniMmechanjwa lini tena mheshimiwa ? Si mlisema mnaizindua kesho ?
Doro itanichukua muda kumuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kuna swali,chanjo ipi walipata kimyakimya na huu uzinduzi wa miniMmechanjwa lini tena mheshimiwa ? Si mlisema mnaizindua kesho ?
Tunaishukuru kwa hilo.
Halafu mh.waziri Dr.Gwajima ni DAKTARI kitaaluma....na madaktari wahamasishao CHANJO wameombewa "mabaya" na mh.Josephat Gwajima .....🤣
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.
Source: ITV habari
Mungu ni mwema wakati wote.
Walichanja lini??Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.
Source: ITV habari
Mungu ni mwema wakati wote.
Mpeleke hiyo Mzee wako wa miaka 70-80 akachanjwe Ili upunguze bajeti.Jamani mbona serikali wamekuwa wazito kutoa mpangilio wa chanjo inaelekea wanasubiri wanasiasa wachanje kwanza na familia zao ndiyo waambie wananchi na huu sio utaratibu mzuri. Wazari wetu wa miaka 70-80 wako ndani na mpaka leo hatujui waende kuchanja wapi!
Asituongopee atuonyeshe ushahidiWaziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.
Source: ITV habari
Mungu ni mwema wakati wote.
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.
Source: ITV habari
Mungu ni mwema wakati wote.
Yatawadodea hayo machanjo yao... kama vipi wakapikie chai wanywe na familia zao! Hachanjwi mtu hapa!Washachanjwa😂😂😂😂😂😂..
Hivi wanadhani bado Wana ushawishi kwA wananchi ..Mi nisikilize wapuuzi hawa..
Mmmh!!Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.
Source: ITV habari
Mungu ni mwema wakati wote.
😂😂😂😂😂Waziri Gwajima umechanja lini?? Lazima uchanje hacharani na mumeo!! Mbona nyungu mlikuwa mnapiga na mumeo mbele ya kamera! Lazima uchanje mbele yetu na tujiridhishe kwa kunasisha sarafu ya sh 100/=.
Sehemu uliyochanja!! Maana usije ukajichanja maji matupu ukatuingiza chaka! Mpaka shilingi 100/= inase kama kwenye sumaku!! Na mabeberu wanawachora mjue!!
Sindano ya Kilimanjaro drinking water! !!!🤣🤣🤣🤣Anaenda kuchomwa sindano ya Kilimanjaro drinking water
Mbona unakuwa muongo mchana kweupe, kwa mfano kifo cha raisi wa Haiti , pia Magu hakukataa kuhusu korona haipoNchi ambazo zilikataa korona Tanzani, Burundi na Hait marais wake wamefariki.
Nchi hizi pia zina mfanano wa hali ya kisiasa.
Tz kila mtu anajua
Burundi: Nkurunzinza pia tunafahamu alivokuwa anaendesha siasa za Burundi.
Haiti, kulikuwa na madai ya katiba mpya kwa muda mrefu na rais alikuwa anayapiga danadana.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ila Tanzania hii basi tu,
Sijui tulimkosea Nini Mungu mpaka kutupatia viongozi wa aina hii.