#COVID19 Waziri Gwajima: Sisi viongozi tulishachanjwa chanjo ya Corona na sasa tunaelimisha wananchi nao Wachanje

#COVID19 Waziri Gwajima: Sisi viongozi tulishachanjwa chanjo ya Corona na sasa tunaelimisha wananchi nao Wachanje

Mmechanjwa lini tena mheshimiwa ? Si mlisema mnaizindua kesho ?
Hapa kuna swali,chanjo ipi walipata kimyakimya na huu uzinduzi wa mini
Doro itanichukua muda kumuelewa
 
Tunaishukuru kwa hilo.

Halafu mh.waziri Dr.Gwajima ni DAKTARI kitaaluma....na madaktari wahamasishao CHANJO wameombewa "mabaya" na mh.Josephat Gwajima .....🤣

Haya yanaondelea hasa kwenye hili suala la corona, kipindi cha Magufuli na sasa wanayoongea hawa viongozi, ndio utajua ni kwa kiwango gani ccm inaongozwa na watu wenye mambo ya kitoto. Yaani hata ni kinyaa kuyasikiliza hayo majizi ya kura.
 
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.

Source: ITV habari

Mungu ni mwema wakati wote.

Jamani mbona serikali wamekuwa wazito kutoa mpangilio wa chanjo inaelekea wanasubiri wanasiasa wachanje kwanza na familia zao ndiyo waambie wananchi na huu sio utaratibu mzuri. Wazazi wetu wa miaka 70-80 wako ndani na mpaka leo hatujui waende kuchanja wapi!
 
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.

Source: ITV habari

Mungu ni mwema wakati wote.
Walichanja lini??
 
Jamani mbona serikali wamekuwa wazito kutoa mpangilio wa chanjo inaelekea wanasubiri wanasiasa wachanje kwanza na familia zao ndiyo waambie wananchi na huu sio utaratibu mzuri. Wazari wetu wa miaka 70-80 wako ndani na mpaka leo hatujui waende kuchanja wapi!
Mpeleke hiyo Mzee wako wa miaka 70-80 akachanjwe Ili upunguze bajeti.
 
Kwaiyo KESHO kuigiza tu na wamesaini CONSENT FORM?
 
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.

Source: ITV habari

Mungu ni mwema wakati wote.

2710220_1615278746701.png
 
Washachanjwa😂😂😂😂😂😂..

Hivi wanadhani bado Wana ushawishi kwA wananchi ..Mi nisikilize wapuuzi hawa..
Yatawadodea hayo machanjo yao... kama vipi wakapikie chai wanywe na familia zao! Hachanjwi mtu hapa!
 
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.

Source: ITV habari

Mungu ni mwema wakati wote.
Mmmh!!
 
Waziri Gwajima umechanja lini?? Lazima uchanje hacharani na mumeo!! Mbona nyungu mlikuwa mnapiga na mumeo mbele ya kamera! Lazima uchanje mbele yetu na tujiridhishe kwa kunasisha sarafu ya sh 100/=.

Sehemu uliyochanja!! Maana usije ukajichanja maji matupu ukatuingiza chaka! Mpaka shilingi 100/= inase kama kwenye sumaku!! Na mabeberu wanawachora mjue!!
😂😂😂😂😂
 
Nchi ambazo zilikataa korona Tanzani, Burundi na Hait marais wake wamefariki.

Nchi hizi pia zina mfanano wa hali ya kisiasa.

Tz kila mtu anajua
Burundi: Nkurunzinza pia tunafahamu alivokuwa anaendesha siasa za Burundi.
Haiti, kulikuwa na madai ya katiba mpya kwa muda mrefu na rais alikuwa anayapiga danadana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mbona unakuwa muongo mchana kweupe, kwa mfano kifo cha raisi wa Haiti , pia Magu hakukataa kuhusu korona haipo
 
😂😂😂😂😂 hapa hakuna kuchanja na vaccination card tutazipata tu Bongo hakuna kinachoshindikana
 
Yan kwakweli nikimsikiliza gwajima naona yuko sawa japo bado nabaki njia panda kuhusu chanjo jmn hili swala linaitaji elim ya hali ya juu
 
Back
Top Bottom