#COVID19 Waziri Gwajima: Watu 7 kati ya watu 10 wanaokufa kwa Corona wanakuwa hawajachanjwa 3 tu ndio wamechanjwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa afya Dr Gwajima amesema katika watu 10 wanaokufa kwa ugonjwa wa Corona 7 wanakuwa hawajachanjwa na 3 tu ndio waliochanjwa.

Utafiti unaonyesha hata hao watatu waliochanjwa hufariki kwa sababu huwa na magonjwa mengine nyemelezi.

Source: ITV habari
 
Ni kulingana na utafiti wa Bongo au ndiyo wana-import kila kitu?
 
Hivi corona ipo tu!!??
 
Hao watatu kwa nini wanakufa??? Sichanji...
 
Wameshakufa wangapi?
 
Kaanza tena fiksi zake😀
 
Kama vaccination coverage haijafika hata 1% ya population, ni sampling procedure gani ametumia ili kuweza kupata a representative sample. Atuwekee formula aliyotumia ku calaculate sample size na statistical power ili tuweze kuiamini hiyo data yake. Kwa sasa bongolala kila mtu ana PhD na anajiona ni mtafiti nguli....
 
hivi ni vioja,yaani uchanjwe korona halafu bado unaaugua korona na kufa sababu eti unamagonjwa nyemelezi ,nini maana ya chanjo sasa?
 
Waziri aseme pia ni watu wangapi wanaugua na kupona bila dawa wala chanjo,then tulinganishe kuona kama huo ugonjwa umefika emergency state ambayo wao wanapambana kila siku kutuaminisha.
 
Corona

Your browser is not able to display this video.
 
Waziri wa afya Dr Gwajima amesema katika watu 10 wanaokufa kwa ugonjwa wa Corona 7 wanakuwa hawajachanjwa na 3 tu ndio waliochanjwa.
Utafiti unaonyesha hata hao watatu waliochanjwa hufariki kwa sababu huwa na magonjwa mengine nyemelezi.

Source: ITV habari
Waziri muongo. Maana yake anataka kusema 30% ya watanzania wamechanja???? Yaani watanzania milioni 15 wamechanja??? Mungu tusaidie na huu uongo uishe basi ili tuijenge nchi
 
Watupe takwimu za mwenendo wa chanjo nchini. Vipi mstakabali wa yule tabibu wa Mbeya na mkoba wake wa chanjo kitanda kwa kitanda kesha chanja wangapi hadi leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…