Waziri muongo. Maana yake anataka kusema 30% ya watanzania wamechanja???? Yaani watanzania milioni 15 wamechanja??? Mungu tusaidie na huu uongo uishe basi ili tuijenge nchi
Na katika hao 10 wanaokufa ni wangapi wanakuwa wamepiga nyungu, wametafuna vitunguu na kujifukizisha ?View attachment 2053927View attachment 2053928View attachment 2053929View attachment 2053930
Aseme pia ktk 10 ambao wamepona, wangapi hawajachanjwa.Wapi kasema 30% wamechanjwa?
Waziri kasema katika wanaokufa kwa korona 30% hawakuwa wamechanjwa.
Kipi hutaki kuelewa hapo?
Na atuambie pia wakati anatufundisha jinsi ya kuchanganya vitunguu,tangawizi, pilipili na malimau alikuwa anatudanganya ? alikengeuka ? alikuwa anatania ? Na kwa nini ameziacha hizo mbinu za asili na kuhimiza chanjo peke yake, kiufupi aje na takwimu zinazolinganisha ufanisi wa mbinu za awali na za sasa π
Aseme pia ktk 10 ambao wamepona, wangapi hawajachanjwa.
Watu wangapi wamechanjwa mpaka sasa hapa Tanzania?Je katika kumi wanaopona ambao wamechanjwa hao hamwataki?
Nyie watu vipi?
70% ya watu wanaokufa hawakuchanjwa haiwafikirishi bali mmetanguliza ujuaji tu?
Wanaokufa kwa takwimu hizi wangeweza kuokolewa maisha yao kwa chanjo tu.
Huo uchambuzi na hitimisho (conclusion) hauko scientific kimaheHizo takwimu hazijafanyiwa mlinganisho wa kisayansi. Zingalikuwa na kaukweli kama nusu ya watanzania wangalikuwa wamechanja na nusu hawajachanja. Yaani kama uwiano (ratio ingalikuwa 1:1.Waziri wa afya Dr Gwajima amesema katika watu 10 wanaokufa kwa ugonjwa wa Corona 7 wanakuwa hawajachanjwa na 3 tu ndio waliochanjwa.
Utafiti unaonyesha hata hao watatu waliochanjwa hufariki kwa sababu huwa na magonjwa mengine nyemelezi.
Source: ITV habari
Watu wangapi wamechanjwa mpaka sasa hapa Tanzania?
Hizi asilimia za wanaokufa zinapatikana vipi Kwa waliochanja na wasiochanja.
Huo uchambuzi na hitimisho (conclusion) hauko scientific kimaheHizo takwimu hazijafanyiwa mlinganisho wa kisayansi. Zingalikuwa na kaukweli kama nusu ya watanzania wangalikuwa wamechanja na nusu hawajachanja. Yaani kama uwiano (ratio ingalikuwa 1:1.
Sasa hali halisi ni kwamba kati ya watanzania milioni 60 ni millioni 1 tu ndiyo waliochanja. Hivyo ratio ni 60:1. Hii maana yake ni kuwa kama ngoma ingalikuwa draw kati ya wasiochanjwa na waliochanjwa (ie chanjo hazina effect ya kupunguza vifo) ratio ingalikuwa vifo 60:1 au 180:3. Sasa hii 7:3 maana yake ni kuwa waliokufa wakiwa wamechanja ni wengi zaidi kuliko wale waliokufa bila kuchanja. Hizi ni hesabu tu za uwiano. You need a controlled study.
Kwani huyo udaktari wake (PhD) ni wa sayansi kama wa kwangu?
Kwani huyo udaktari wake (PhD) ni wa sayansi kama wa kwangu?
Naona watakuwa wana-Import,Waziri Mkuu alishasema hakuna Corona wimbi la nne.Ni kulingana na utafiti wa Bongo au ndiyo wana-import kila kitu?
Naona watakuwa wana-Import,Waziri Mkuu alishasema hakuna Corona wimbi la nne.
Nadhani maelezo ya huyo mwafrika hayako inline na ya Dr Fauci. Mtu aliekuwa vaccinated (aliechanjwa) anaweza kutransmit corona na anaweza pia kuwa mgonjwa, tofauti yake iko kwenye critical levels zao ni tofauti.
Fuvu limejaa uongo.
Fuvu limejaa uongo.
The worst pm everπFuvu uongo, nywele kiwi ππ