Waziri Hamza ni mfano wa kifaranga tu, Sasa tunaomba mtetea ajitokeze mwenyewe

Soma historia hawakuungana Watu bali ziliungana Serikali katika sekta kadhaa tu

Hamza yuko sahihi Watanganyika wengi hawajui historia!
Tanganyika Kwa taarifa Yako ndiyo waliofanya mapinduzi Zanzibar na ndiyo waliamua kumuweka karume na kumtimua john okello sio kuwa hatujui historia tunajua ila Huwa hatuon umuhimu wa kubishana na Ndugu zetu.

Shida ya Zanzibar ni Moja tu uvivu
 
Una uhakika Zanzibar ni Wavivu?
 
Zilizoungana ni nchi 2 Huru siyo Watu milioni 60 na milioni 2

Ukilielewa Hili hutapata shida kumuelewa mh Waziri Hamza!
Bwashee king'ang'anizi aiseee[emoji1787][emoji1787]

Nchi ni ARDHI ,WATU NA SIASA SAFI....

Sasa unawatoaje watu kwa kuwa tu halikutamkwa katika hati ya Muungano?!!!!

Mapato ya dhahabu ya GEITA yanatumiwa hata Zanzibar......
 
Tanganyika Kwa taarifa Yako ndiyo waliofanya mapinduzi Zanzibar na ndiyo waliamua kumuweka karume na kumtimua john okello sio kuwa hatujui historia tunajua ila Huwa hatuon umuhimu wa kubishana na Ndugu zetu.

Shida ya Zanzibar ni Moja tu uvivu
umeongea ukweli nyerere na kigenge chake ndio waliofanya mauaji ya halaiki Zanzibar mwaka 1964.
 
Bwashee king'ang'anizi aiseee[emoji1787][emoji1787]

Nchi ni ARDHI ,WATU NA SIASA SAFI....

Sasa unawatoaje watu kwa kuwa tu halikutamkwa katika hati ya Muungano?!!!!

Mapato ya dhahabu ya GEITA yanatumiwa hata Zanzibar......
Hati ya Muungano iko Zanzibar pamoja na ya Jengo la Yanga aka Utopolo!
 
Watato wa mwinyi Mzanzibari, wanaongoza serikali zote mbili, ya muungano na ya mapinduzi
 
Ahsante ,je maneno ya Mwalimu Nyerere ni sheria mpaka leo? Swala Muungano mara zote linatazamwa na kujadiriwa kihisia tu nasio uhalisia. Tanganyika tunaupenda na kuhitaji huu Mungano sana lakini si kwamba hamna mapungufu au makosa.

Upande wa bara niwanufaika sana wa Muungano kuliko wenzetu wa Zanzibar..kwetu bara swala la mapato,usalama na bahari ndiyo msingi wa kuhitaji kuendelea na Muungano huu na hamna cha zaidi ya hapa..sema raia wengi awajui au waelekezwi au kuelimishwa uhalisia wa Muungano.

Mwisho status au sifa ya nchi sio kua na watu wengi au eneo kubwa la ardhi n.k
 
Ndiyo kisa Zanzibar hakuna unemployment. Vijana wao wakiitwa interview Wote wanachukuliwa hasa hizi taasisi za Muungano. Population Yao haifiki population ya Mkoa WA DSM. tutagawana Vipi na hawa Watu. ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…