Waziri Hamza ni mfano wa kifaranga tu, Sasa tunaomba mtetea ajitokeze mwenyewe

Waziri Hamza ni mfano wa kifaranga tu, Sasa tunaomba mtetea ajitokeze mwenyewe

Soma historia hawakuungana Watu bali ziliungana Serikali katika sekta kadhaa tu

Hamza yuko sahihi Watanganyika wengi hawajui historia!
Tanganyika Kwa taarifa Yako ndiyo waliofanya mapinduzi Zanzibar na ndiyo waliamua kumuweka karume na kumtimua john okello sio kuwa hatujui historia tunajua ila Huwa hatuon umuhimu wa kubishana na Ndugu zetu.

Shida ya Zanzibar ni Moja tu uvivu
 
Una uhakika Zanzibar ni Wavivu?
 
Zilizoungana ni nchi 2 Huru siyo Watu milioni 60 na milioni 2

Ukilielewa Hili hutapata shida kumuelewa mh Waziri Hamza!
Bwashee king'ang'anizi aiseee[emoji1787][emoji1787]

Nchi ni ARDHI ,WATU NA SIASA SAFI....

Sasa unawatoaje watu kwa kuwa tu halikutamkwa katika hati ya Muungano?!!!!

Mapato ya dhahabu ya GEITA yanatumiwa hata Zanzibar......
 
Tanganyika Kwa taarifa Yako ndiyo waliofanya mapinduzi Zanzibar na ndiyo waliamua kumuweka karume na kumtimua john okello sio kuwa hatujui historia tunajua ila Huwa hatuon umuhimu wa kubishana na Ndugu zetu.

Shida ya Zanzibar ni Moja tu uvivu
umeongea ukweli nyerere na kigenge chake ndio waliofanya mauaji ya halaiki Zanzibar mwaka 1964.
 
Bwashee king'ang'anizi aiseee[emoji1787][emoji1787]

Nchi ni ARDHI ,WATU NA SIASA SAFI....

Sasa unawatoaje watu kwa kuwa tu halikutamkwa katika hati ya Muungano?!!!!

Mapato ya dhahabu ya GEITA yanatumiwa hata Zanzibar......
Hati ya Muungano iko Zanzibar pamoja na ya Jengo la Yanga aka Utopolo!
 
Zanzibar Kuna Waziri anaitwa Hamza, hakuna anayemjua hasa bara, ametumwa ajenda ya kutikisa Muungano. Anatoa maneno ya chokochoko ili kutibua maji ya kisima.

Namshauri aliyemtuma ajitokeze, kwa kuwa anafahamika vizuri. Waziri Hamza ni kifaranga tu, na mama yake (mama kuku) ndiye aliyempa hadhi ya kuongea kwa cheo hicho. Bila cheo hicho asingeongea.

---
Pia soma
- Waziri Hamza: Mapato ya Muungano ukitoa matumizi kinachobaki ndio Tugawane Zanzibar na Bara na siyo hii 4.5% tunayopata sasa!
Watato wa mwinyi Mzanzibari, wanaongoza serikali zote mbili, ya muungano na ya mapinduzi
 
Hata kama haikutamka ama kuandikwa....maneno ya hayati Nyerere yanajitoleza kabisa...."Tanganyika ilifutwa ili isiweze kuimeza Zanzibar ambayo ni ndogo kieneo....ndogo kiidadi ya raia....".

Muungano wetu ni wa kipekee....hivi HURIA+FURSA zilizoko eneo la bara haziwasaidii wazanzibari ?!!!!

Hivi unajua kuwa bara kuna raia wengi wa Zanzibar kuliko walioko visiwani ?!!!!

Hivi unajua kuwa wazanzibari wana fursa kubwa ,pana na wasaa zaidi ya sisi wa huku bara ?!!!!

Mzanzibari anazuiwa kumiliki eneo la ukubwa gani huku bara?!!!

Je raia wa bara hana ukomo wa kumiliki eneo la ardhi upande wa visiwani ?!!!!

Mh.Hamza ayakumbuke na haya.....

#SiempreJMT[emoji120]
#MuunganoWetuNiBoraHiviUlivyo[emoji120]
Ahsante ,je maneno ya Mwalimu Nyerere ni sheria mpaka leo? Swala Muungano mara zote linatazamwa na kujadiriwa kihisia tu nasio uhalisia. Tanganyika tunaupenda na kuhitaji huu Mungano sana lakini si kwamba hamna mapungufu au makosa.

Upande wa bara niwanufaika sana wa Muungano kuliko wenzetu wa Zanzibar..kwetu bara swala la mapato,usalama na bahari ndiyo msingi wa kuhitaji kuendelea na Muungano huu na hamna cha zaidi ya hapa..sema raia wengi awajui au waelekezwi au kuelimishwa uhalisia wa Muungano.

Mwisho status au sifa ya nchi sio kua na watu wengi au eneo kubwa la ardhi n.k
 
Zanzibar Kuna Waziri anaitwa Hamza, hakuna anayemjua hasa bara, ametumwa ajenda ya kutikisa Muungano. Anatoa maneno ya chokochoko ili kutibua maji ya kisima.

Namshauri aliyemtuma ajitokeze, kwa kuwa anafahamika vizuri. Waziri Hamza ni kifaranga tu, na mama yake (mama kuku) ndiye aliyempa hadhi ya kuongea kwa cheo hicho. Bila cheo hicho asingeongea.

---
Pia soma
- Waziri Hamza: Mapato ya Muungano ukitoa matumizi kinachobaki ndio Tugawane Zanzibar na Bara na siyo hii 4.5% tunayopata sasa!
Ndiyo kisa Zanzibar hakuna unemployment. Vijana wao wakiitwa interview Wote wanachukuliwa hasa hizi taasisi za Muungano. Population Yao haifiki population ya Mkoa WA DSM. tutagawana Vipi na hawa Watu. ?
 
Back
Top Bottom