Waziri Innocent Bashungwa: Wasafi TV wanajutia kosa, wameomba msamaha na kuonesha nia ya kusimamia yasijirudie

Waziri Innocent Bashungwa: Wasafi TV wanajutia kosa, wameomba msamaha na kuonesha nia ya kusimamia yasijirudie

Mi-5-tena, Kisha-7.
Maji 'Mtaita' mmaah, Shubamitt. 😎
 
Sababu za mchakato huo haramu zilizotolewa na Bashungwa hazina mashiko kwa vile vyombo vyote vilivyofungiwa na TCRA ikiwemo Kwanza Tv , Gazeti la MwanaHalisi , Mawio na TanzaniaDaima vilikuwa vimeajiri wafanyakazi kama ilivyofanya WASAFI TV lakini vimefungiwa moja kwa moja hadi sasa .
saa zingine ukificha ujinga wako inapendeza zaidi, hivi unafahamu mchango wa crew ya wasafi ktk kufanikisha ccm ishinde (kama kweli ilishinda). Usifananishe WASAFI na hivyo vyombo vingine.
 
Labda ndio kama kawa, linatengezwa tatizo, ili boss apate kick kwa kuja "kulitatua"? Hii inji haiishi vibweka ati!
 
Lazima ujue jukumu la TCRA ni lipi na jukumu la wizara ya habari ni lipi?Then utajua nani soon atavuliwa nguo sipo upande wa WASAFI wala serikali.
 
January haiishi watakuwa hewani.
Wasafi Tv wanajutia kosa, wameomba msamaha na kuonesha nia ya kusimamia yasijirudie, Wizara inaendelea na jitihada za kuona hili linapata mwelekeo utakaolinda ajira zilizozalishwa, uwekezaji uliofanyika bila kuvunja sheria za Nchi"-Waziri wa Habari Innocent Bashungwa

Taarifa: Darmpya Blog
 
Kuwa uchi ni nini?

Labda tuanzie hapo!
Tcra washaa kwambia alkua uchi,

Maeneo ya mwili yanayostahili kufunikwa na nguo yakiwa tupu huyo yupo uchi kijana.

Ukiona matiti ya mwanamke, mapaja huyo yupo uchi.

Likewise kwa mwanamume.
 
Tcra washaa kwambia alkua uchi,

Maeneo ya mwili yanayostahili kufunikwa na nguo yakiwa tupu huyo yupo uchi kijana.

Ukiona matiti ya mwanamke, mapaja huyo yupo uchi.

Likewise kwa mwanamume.
Tcra siyo mahakama!
 
Ushamba +rohombaya + kuzaliwa vijijini+uzoba=kutulazimisha maisha ambayo kizazi cha SASA hakiyajui........ni sawa na useme kulikuwa na mgao WA maindi ya yanga taifa miaka hiyo....kijana WA SASA hata ajui hayo Mambo na hata akijua inamsaidia nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]chefuuuuuuuuu
Kwa akili yako hiyo, Utaharibu watoto wako baadae.!

Uchi ni uchi tu hata baada ya miaka 100 ijayo, kwa tamaduni zetu za kiafrika hatutaki.![emoji20][emoji20]

Tuache kunajisi kizazi cha watoto kwa mambo ya kijinga.
 
Wewe nawe zumbukuku Tu....... diamond alikuwa na kosa gani hapo........haafu nionyeshe huo uchi WA Gigi maana usiongee kama ujashikiwa figo......
 
Wewe nawe zumbukuku Tu....... diamond alikuwa na kosa gani hapo........haafu nionyeshe huo uchi WA Gigi maana usiongee kama ujashikiwa figo......
We inaonesha hujui madhara kubadirish utamaduni hasa huu wa kigen uliombaya.

Ukivaa utumbo unachora mpaka maungo huoni kama nao ni kuwa tupu??

Huwa unajisikiaje ukiwa na watoto wa miaka 7 mpaka 16 unacheki tv unakuta msanii anatokea amevaa kimin au nguo iliyobana inachora maungo yato??

Ukiona huwa unajihis fresh tu basi wewe ubongo wako bado mdogo kiroho na kimwili.!
 
Wewe nawe zumbukuku Tu....... diamond alikuwa na kosa gani hapo........haafu nionyeshe huo uchi WA Gigi maana usiongee kama ujashikiwa figo......
Diamond kama mkurugenzi inatakiwa aweke mfumo mzuri kwa watendaji wake kwamba vipande vya hovyo viwe vinaeditiwa.!

Kuna siku msanin atavua chupi avae kichwan bado watu wa kamera watachukua na kurusha kwa watanzania. Hapo mmiliki pia anamakosa yake kijana.!
 
Waziri wa Sanaa, vijana, utamaduni na michezo Bashungwa amesema wanaangalia namna ya kushughulikia swala la Wasafi tv kufungiwa miezi sita kufuatia kituo hicho cha habari kujutia na kuomba radhi
 
Unajua Mtanivuruga Hapa Sasa Hivi
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Kukampenia Kwa siku zaidi ya 50 si kitu kidogo!

Kuna mtu alitaka kulisahau Hilo!!
 
Back
Top Bottom